Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

Hata Mimi nlikua Kama wewe , yaani kila nkiona chipa ya beer nataka niweke kikao, sikua na kampani (nakunywaga mwenye)Ila ndio kila wkt nkipata muda lazima ninywe!! Nkiwa stand nasubir gari hizo dk 5 au kumi gari iondoke lazima niagize ! Nimekunywa pombe toka 1996 hskuna siku ilipita bila kunywa Hadi 2021 mwezi wa 3 nlipoamua kusema Sasa Basi!!!! Toka 2021 mwezi wa 3 sijamywa japo Mara moja moja hua nakunywa wine !!
 
Hakika wewe ni mimi mkuu!
Hii uliyoandika ni mimi kabisa yani.

Hiki kikombe tutakufa nacho, hatukiepuki
 
Kwa tuliosoma "Kyuba" tushaelewa hii code.

Kwamba upande huu upo ww, afu kule kwenye Moshi Lite lazima Kuna mbususu ndo inakunywa hiyo Lite.

Karibu Dodoma mkuu, tukutane Okaoni tushushe mbili tatu
 

Eeh Mungu niepushe [emoji3526]
 
Pole asee, ila kila kitu kinaanza na nia. Ukiweka basi unaweza acha mazima
 
Hapa napoandika huu uzi pia nawaomba kama kuna mtu humu anataka kunishauri basi tukutane tunywe beer mbili tatu tukiendelea kujadili hii pombe naiachaje. Maana imekuwa disaster
Mkuu Mshana Jr karibu tupeane mbinu maana kwa kweli nimechoka. Nipo nimekaa mahali hapa bado utumwa wa pombe unaendelea.

Nipo Serious nahitaji msaada ndugu zangu
 
Hingera sana Mkuu, japo Vita umevipiga kwelikweli
 
Vp mkuu ulifanikiwa kuacha? Au bado unatwanga kitwanga?
 
We tangaza tu: mkiniona nakunywa beer/pombe nichezesheeni bakora za kutosha 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…