Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

Kwa Hiyo mkuu unataka kutuambia kwamba walimu wa ITA sio waadilifu/ hawajui kutunza siri
We unaonaje mzee?? Madogo wengi wa ITA hutafuta sana paper kutoka kwa walimu pale. Na mara nyingi hizo paper wanaokuwa nazo ni hao madogo. So utapata jibu ww mwenyewe.
 
We unaonaje mzee?? Madogo wengi wa ITA hutafuta sana paper kutoka kwa walimu pale. Na mara nyingi hizo paper wanaokuwa nazo ni hao madogo. So utapata jibu ww mwenyewe.
Mkuu unatuhumu, unadharau, unatweza na kubagua watu na unaongea vitu kwa confidence kubwa utafikiri unavyovisema vina ukweli saaana. Hebu kuwa na kiasi.
 
Nimekukwaza? Samahani mkuu, mitandaoni humu, chukua kile kinakufaa vingine achana navyo.
Hujanikwaza ila umejitahidi kujionesha wewe ni m'bora kuliko wengine kitu ambacho kinabagaza personality yako pia. Unisamehe kama nimekukwaza pia Mkuu. Nimeishia hapa.
 
Kada uliyokuwa unataka kufanya kazi ni kada ya kodi sasa unataka upewe maswali gani mkuu? Ungelijua usingeliomba hiyo kazi
 
A content based not a competence based.
Inabidi irudiwe
 
Hivi hii Pepa majibu yake lini
 
Hivi hii Pepa majibu yake lini
Kwani hawajatoa majibu bado? Si nilisikia Oral itafanyika tar 17 na 18? Sasa wale wanaoishi mbali Kigoma, Songea, Mtwara itakuwaje wakipita kwenye usaili huo? Mbona hao utumishi waswahili sana? Au watatoa nauli kwa hao watu??
 
Hii pepar ilikua ngumu sanaa watu hawana hata mzuka nayo .....
 
Kwani hawajatoa majibu bado? Si nilisikia Oral itafanyika tar 17 na 18? Sasa wale wanaoishi mbali Kigoma, Songea, Mtwara itakuwaje wakipita kwenye usaili huo? Mbona hao utumishi waswahili sana? Au watatoa nauli kwa hao watu??
Bado hawajatoa, huenda labla wakareschedule, siamini kama kwa ile nyomi ya watu wataweza kusahihisha ndani ya week moja tu na kutoa majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…