Mkuu inauma sana ila sina namna, maana mama uwa ananikazania nimuite baba iki kitu napingana nacho sana ila kwa shingo upande namuita, inaumiza sanaShukuru mungu anamtafuna kwa faida yako. Leo upo kazini unajipatia mkate wako wa kila siku πππ
We babaako halisi yuko wapi?mkuu inauma sana ila sina namna, maana mama uwa ananikazania nimuite baba iki kitu napingana nacho sana ila kwa shingo upande namuita, inaumiza sana
Anakaa katavi mkuu, anafanya shughuli zake za kilimo ukoWe babaako halisi yuko wapi?
Dah basi sawa huyo nae ni babaako mkuu. Ya kaizari muachie kaizarianakaa katavi mkuu, anafanya shughuli zake za kilimo uko
Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
Itakuwa walinegosheti ya mkubwa mwenzakeacha tu ndugu, maana akuniuliza ata kama nitafanya nao kazi wanilipe sh ngapi yeye kesho yake akanipa tu mkataba nisaini, ndio ivyo nikasaibi ile milioni moja na laki mbili na nusu kwa shingo upande sana
yaaani acha tu mkuu, na bibi mkubwa wangu alivyo na wezele kubwa, ndio maaana uyu boss uwa ananichangamkia sana sana aiseeeItakuwa walinegosheti ya mkubwa mwenzake
[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119][emoji1690]yaaani acha tu mkuu, na bibi mkubwa wangu alivyo na wezele kubwa, ndio maaana uyu boss uwa ananichangamkia sana sana aiseee
Yaan mkuu unawivu sijui hasirayaaani acha tu mkuu, na bibi mkubwa wangu alivyo na wezele kubwa, ndio maaana uyu boss uwa ananichangamkia sana sana aiseee
mkuu roho inaniuma mnoo mkuuYaan mkuu unawivu sijui hasira
Eti bi mkubwa anakukazia umuite baba , wewe hutaki
Mara anamiliki ya mama, wewe roho yakuuma
Mara mama anawezele
Mie unanifurahisha kwa kweli
Hahahaha Mkuu umetishaaayaaani acha tu mkuu, na bibi mkubwa wangu alivyo na wezele kubwa, ndio maaana uyu boss uwa ananichangamkia sana sana aiseee
we unauhakika gani kama uyo sio baba yako?..mama yako ndio anamjua baba yako..uyo ndio baba yako...fuata maelekezo mtaani kugumu shauri yako.mkuu roho inaniuma mnoo mkuu
Pole mkuu, endelea kuvumilia maana mume amkazae mama'ko kwa heshima ndio baba huyomkuu roho inaniuma mnoo mkuu
Hata kama ikija kuthibitika kwamba baba yule mwengine sio baba mzazi ila hawa tayari wanabond ya baba na mtoto imagine tangu utotoni mpk leo kikoozi anamoment ngapi na yule mzeewe unauhakika gani kama uyo sio baba yako?..mama yako ndio anamjua baba yako..uyo ndio baba yako...fuata maelekezo mtaani kugumu shauri yako.
hiyo mjini inaitwa POP.....POWER OF PUSSYHata kama ikija kuthibitika kwamba baba yule mwengine sio baba mzazi ila hawa tayari wanabond ya baba na mtoto imagine tangu utotoni mpk leo kikoozi anamoment ngapi na yule mzee
Huyo boss ataitwa baba kwa heshima ya mama
Ila mama katumia wezele vizuri kumpa mwanae ulajiπ π
Kweli mkuu, saivi anayatumbua tuHizi kazi zilikuwa zinapatikana zaidi kati ya 2007-2014 kabla ya mzee wa Ma "Abscess" hajaingia mjengoni.
Hizi kazi zilikuwa zinapatikana zaidi kati ya 2007-2014 kabla ya mzee wa Ma "Abscess" hajaingia mjengoni.
Kwa akili na misimamo yangu hiyo kazi hata kukanyaga hiyo ofisi nisingekanyaga.Mambo ya kuwa na akina 'baba' wawili wawili nani anataka.Sitakagi ujinga!Dah basi sawa huyo nae ni babaako mkuu. Ya kaizari muachie kaizari
Unamuuza mwezio.Uzalendo wa wapi huu?.Utu hauna bei rafiki.Hahahaaaaaawe unauhakika gani kama uyo sio baba yako?..mama yako ndio anamjua baba yako..uyo ndio baba yako...fuata maelekezo mtaani kugumu shauri yako.