Vumilia kikubwa kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
AsanteVumilia kikubwa kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro ila sio kaka?au ni kaka braza😂😂😂hapana ni bro wangu ndio aliniambia hivyo
Bro ila sio kaka?au ni kaka braza[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
🤣🤣🤣🤣boss usicheke mshahara wenyewe nilianza nao ni mdogo sana aisee, eti nina degree wakaaza kunilipa milion moja na laki 2 na nusu😭😭😢
Lucky you!Kazi yangu ya kwanza nilipata kabla sijamaliza chuo mwaka 2016,niliambiwa na mshua nenda ofisini fulani mpe hii karatasi huyu mtu,nafika pale yule boss kuniona tu akanambia kaandike CV jumatatu ilete,jumatatu nmepeleka cv nkaambiwa ukimaliza mitihani njoo,tareh 23 mwez wa saba namaliza UE tarehe 1 mwezi wa nane naingia ofisin,mshahara One million after makato yote!
Kazi ya pili mfanyakazi mwenzangu alianzisha kampuni yake basi tu akanipgia simu upo wapi siku hiz(mana ile ofisi ya mwanzo nilitoka nikamuacha yeye),nkamjibu npo kwangu,akaja hadi nilipo akanipeleka ofisini kwake akaniambia ofisi hii hapa kaa tufanye kazi!
Baada ya hapo kazi zote nazopata huwa napigiwa tu simu naenda kuonana na muhusika naanza kazi,kazi zangu zote huwa sifanyi interview,na nilizowahi fanya interview huwa nakosa.
Note😛rofessional yangu ni civil Engineer
Unaweza kuta wewe ndio mtoto wa Boss.Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
Future CEO huyo..!Unaweza kuta wewe ndio mtoto wa Boss.
Mkuu we piga kazi habari za bimkubwa kutafunwa muachie mzee wako atadeal naeMimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
Mkuu mbona wewe ni muongo ivo, mwezi wa 8 tu ulikua hauna ajira? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaani acha tu mkuu, na bibi mkubwa wangu alivyo na wezele kubwa, ndio maaana uyu boss uwa ananichangamkia sana sana aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukute ndo baba yakoMimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
yaaani acha tu mkuu, na bibi mkubwa wangu alivyo na wezele kubwa, ndio maaana uyu boss uwa ananichangamkia sana sana aiseee
Hahaha we kweli ulipata kazi kilaini sana, bi mkubwa amekurahisishia maishaMimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
Kwani B.Mkubwa bado wanawasiliana na Boss wakoacha tu ndugu, maana akuniuliza ata kama nitafanya nao kazi wanilipe sh ngapi yeye kesho yake akanipa tu mkataba nisaini, ndio ivyo nikasaibi ile milioni moja na laki mbili na nusu kwa shingo upande sana
Nyinyi vijana mnachekesha sana, yani una ubavu wa kungumzia wese la bi mkubwa, we fanya kazi hayo mengine achana nayoyaaani acha tu mkuu, na bibi mkubwa wangu alivyo na wezele kubwa, ndio maaana uyu boss uwa ananichangamkia sana sana aiseee