Mliobahatika kupata kazi bila hata interview mtupe siri

msiamini kile mnachokisoma wengi ni waongo
 
Mimi Civil Engineer mwenzako, ukipata connection please nikununulie, Mwaka wa 2 huu game ya mtaa ngumu sana
 
Hahahahah[emoji1][emoji1][emoji14][emoji14][emoji3577]
 
Hiyo tayari ilikuwa ni interview. Au hujui maana ya interview?
 
Una wasi wasi gani wakati bi mkubwa aliekuambia uende kwa baba yako akupe kazi. Yaani wewe ni kiazi kweli.
 
We fala umenifanya nimecheka sana kama mazuri vile [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni college dropout nili (disco)baada ya pale nilipataga connection kampuni x maana ni mzuri wa ku develop mifumo ya simu na computer.

Nilipofika nilipewa task nikaifanya vizuri nikalipwa malipo ya ile task after a month wakaniita tujadili mshahara.

Sikuulizwa nimesoma wapi wala cheti cha chekechea nilipiga kazi for 1 year nikapata connection kutokea pale pale ya kazi nyingine kubwa na sikuombwa chochote vile vile ni kazi nnazofanya ndio zinanibeba.
 
[emoji23][emoji23]
 
Hahhaa mkuu una ujasiri mkubwa kuandika hiyo mistari ya mwisho
 
Kitu vitu viwil tu ambavyo vinaweza kukusaidia kazi bila interview:
1. Kuunganishwa / connection
2. uniqueness / utofauti
Wengi tunategemea namba moja lakin amin nakwambia namba 2 ina nguvu sana, kuwa tofauti na wenzio katika same field, mim nmeshafanya kazi miaka miwil bila boss kuomba cheti changu, ni kwasababu nilimuonesha vitu tofauti nje ya mazoea / matarajio
 
Kwema wanajukwaa? Mko njema?

Leo nimekuja kwenu natafuta shuhuda ya wenzetu waliowahi kupata kazi bila interview yaan umetuma maombi na kuitwa kazini direct na kukabidhiwa majukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…