Mnyama Q
JF-Expert Member
- Jun 15, 2019
- 453
- 510
Kasema anaingiza 2m,,, Ivo 2m ashindwe kumtolea MUNGU 200k kwel?Namdanganya kvp.? Kwahy kama hana pesa ya kutoa 10% au majukumu yake yanambana mpaka kushindwa hy 10%. unataka akaibe.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema anaingiza 2m,,, Ivo 2m ashindwe kumtolea MUNGU 200k kwel?Namdanganya kvp.? Kwahy kama hana pesa ya kutoa 10% au majukumu yake yanambana mpaka kushindwa hy 10%. unataka akaibe.?
Duuh mafundisho yapi haya mkuu😄 mkuu pole Sana umepotea haswaMkuu hongera kwa kuupiga mwingi mpaka unamwagika, binafsi nikushauri kama wewe ni Mtumishi wa Serikali tayari unakuwa umetoa fungu la kumi kupitia Income Tax (PAYE) ambao hiyo fedha inarudi kwa jamii katika kuboresha huduma mbalimbali kama afya na elimu. Kwahiyo usipasue kichwa mzee kwa hizi taasisi za dini zilizojikita kuhubiri matoleo badala ya kazi zao za Msingi kuhubiri neno. Naamini sadaka inawatosha sana. Tambua ya kuwa Mungu wetu si masikini kusema usipotoa hiyo anapoteza mapato.
Ndiyo maana hata mafundisho yanahimiza kurarua mioyo yetu na si mavazi yetu, pia yanahimiza kujikita katika usafi wa Moyo na sio wingi wa matoleo yetu.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Paye sio fungu la kumi .Imeandikwa mpeni kaisari vilivyo vyake kaisari (vikamsaidie kutawala ) na mpeni Mungu vilivyo vyake Mungu( vikatumike kujenga ufalme wa mungu) .Mkuu hongera kwa kuupiga mwingi mpaka unamwagika, binafsi nikushauri kama wewe ni Mtumishi wa Serikali tayari unakuwa umetoa fungu la kumi kupitia Income Tax (PAYE) ambao hiyo fedha inarudi kwa jamii katika kuboresha huduma mbalimbali kama afya na elimu. Kwahiyo usipasue kichwa mzee kwa hizi taasisi za dini zilizojikita kuhubiri matoleo badala ya kazi zao za Msingi kuhubiri neno. Naamini sadaka inawatosha sana. Tambua ya kuwa Mungu wetu si masikini kusema usipotoa hiyo anapoteza mapato.
Ndiyo maana hata mafundisho yanahimiza kurarua mioyo yetu na si mavazi yetu, pia yanahimiza kujikita katika usafi wa Moyo na sio wingi wa matoleo yetu.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Wapi imeandikwa usitoe pesa ya kubeti au kudanga?Paye sio fungu la kumi .Imeandikwa mpeni kaisari vilivyo vyake kaisari (vikamsaidie kutawala ) na mpeni Mungu vilivyo vyake Mungu( vikatumike kujenga ufalme wa mungu) .
Fungu la kumi kwenye biblia halijaelezwa kwa mafumbo ni kwamba asili yake ni israel ilikuwa na makabila 12 .kabila moja liliitwa walawi wao walikuwa kazi yao ni kuwa viongozi wa kidini .kuwasiliana na Mungu kwa niaba ya kabila zingine na kutunza mahekalu.wao walikuwa hawapaswi kuwa serious sana na uzalishaj mali .hivyo kabila zingine zilipaswa kutoa fungu la kumi kwenda hekalun ili kulipa mishahara walawi na ziada kutumika kulea yatima na wajane na shughuli za usambazaji na ufundishaji neno la mungu.
Usitoe fungu la kumi iwapo?
1.Mapato yako si halali ikiwemo pesa ya kubet .kudanga
Rushwa etc
2.usitoe kama huna hakika haiendi moja kwa moja kulea yatima wajane au kulipia shughuli za kujenga ufalme wa mungu
3.Fungu la kumi likitolewa kanisani ni mali ya kanisa sio mchungaji .Viongozi wa kanisa wanapaswa kupima mahitaji yake hususan kulea familia malazi makaz chakula na afya ya familia yake tuu.mambo ya akitaka utajiri atafute mwenyewe aidha naye anapaswa alipe fungu la kumi
4.hivyo ukiona huamini mfumo wa kanisa lako unaweza amua kupeleka kwa yatima vitu sio hela kama mablanket .dawa .kuwatibu .kumbuka kwenye vituo kunaupigaji sana simamia hilo.Fungu la kumi lina jukumu kulea viongozi wa dini .mtembelee kiongozi unaeamini wa kweli mnunulie kitu unaamini kinaboresha huduma yake .mfano wa kijijini mnunulie bodaboda itafanya asimamie vyema kazi za kanisa .au mnunulie kwa walokole suti .mpe offa ya full check up ya afya na matibabu etc mnunulie simu nzuri awasiliane vyema na waumini
Ila kwa makanisa yenye mpangilio kama mfano roman catholic weka tu madhabahuni wao wananamna ilopangiliwa inafikia yatima na wajane straight na mapadre wanaishi kawaida hawastarehe na sadaka .huwezi kuta hata kardinali anagari la kifahali kama mzee wa upako
Hata wewe kuna mahali umegeuzwa mtaji.Ummegeuzwa kuwa mtaji kwa makanisa
Hapo mwisho umeharibu.Paye sio fungu la kumi .Imeandikwa mpeni kaisari vilivyo vyake kaisari (vikamsaidie kutawala ) na mpeni Mungu vilivyo vyake Mungu( vikatumike kujenga ufalme wa mungu) .
Fungu la kumi kwenye biblia halijaelezwa kwa mafumbo ni kwamba asili yake ni israel ilikuwa na makabila 12 .kabila moja liliitwa walawi wao walikuwa kazi yao ni kuwa viongozi wa kidini .kuwasiliana na Mungu kwa niaba ya kabila zingine na kutunza mahekalu.wao walikuwa hawapaswi kuwa serious sana na uzalishaj mali .hivyo kabila zingine zilipaswa kutoa fungu la kumi kwenda hekalun ili kulipa mishahara walawi na ziada kutumika kulea yatima na wajane na shughuli za usambazaji na ufundishaji neno la mungu.
Usitoe fungu la kumi iwapo?
1.Mapato yako si halali ikiwemo pesa ya kubet .kudanga
Rushwa etc
2.usitoe kama huna hakika haiendi moja kwa moja kulea yatima wajane au kulipia shughuli za kujenga ufalme wa mungu
3.Fungu la kumi likitolewa kanisani ni mali ya kanisa sio mchungaji .Viongozi wa kanisa wanapaswa kupima mahitaji yake hususan kulea familia malazi makaz chakula na afya ya familia yake tuu.mambo ya akitaka utajiri atafute mwenyewe aidha naye anapaswa alipe fungu la kumi
4.hivyo ukiona huamini mfumo wa kanisa lako unaweza amua kupeleka kwa yatima vitu sio hela kama mablanket .dawa .kuwatibu .kumbuka kwenye vituo kunaupigaji sana simamia hilo.Fungu la kumi lina jukumu kulea viongozi wa dini .mtembelee kiongozi unaeamini wa kweli mnunulie kitu unaamini kinaboresha huduma yake .mfano wa kijijini mnunulie bodaboda itafanya asimamie vyema kazi za kanisa .au mnunulie kwa walokole suti .mpe offa ya full check up ya afya na matibabu etc mnunulie simu nzuri awasiliane vyema na waumini
Ila kwa makanisa yenye mpangilio kama mfano roman catholic weka tu madhabahuni wao wananamna ilopangiliwa inafikia yatima na wajane straight na mapadre wanaishi kawaida hawastarehe na sadaka .huwezi kuta hata kardinali anagari la kifahali kama mzee wa upako
Mkuu hongeea sana kwa kuanzisha huu uzi.Naamini una imani na hofu ya Mungu juu yako.Ni wengi sana tunamwibia sana Mwenyezi Mungu kwa kushinda kumtolea zaka kamili.Na katika sehemu ambayo Mwenyezi Mungu kaahidi kutenda/kujibu kwa wakati maombi yetu mbalimbali basi ni kupitia zaka.Nina ushuhuda juu ya hili.Ukifuatilia Malaki 3:8-11.Utaona.Kwangu mimi kwa lgha nyepesi Zaka ni kutoa 10% ya ulichopata kwa jasho lako kihalali kiende kubeba wenye shida, binafsi naiona ni kama kodi fair kabisa ya kuweza kuishi na kupata rizki kwenye dunia hii ambayo ina mwenye nae alieiumba.
Nadhani huwa inahesabiwa zaidi unapomsaidia mtu mwenye shida na hawana ukaribu na wewe ama mnajuana kwa mbali, wale mnaojuana karibu huwa ni msaada na si zaka.
Ni adaka pekee huwa natoa kanisani lakini kuhusu Zaka huwa najaribu kuitoa kwa watu wenye shida naokutana nao ila hadi sasa sijawai toa 10%>
Binafsi nineshindwa kuweza kufikia hio asilimia 10, huwa bili zinanizonga najikuta bili zangu inabidi ziwe na kipaumbele kuliko hii zaka ambayo naichukulia kama kodi ya Sir God alienipa uhai moaka sasa.
Tangu naanza kupata elf 30 kwa mwezi hadi sasa nikiwa naweza kupata milioni 2 hadi 3 kila mwezi nikiri wazi nilikuwa nahitahidi kutoa fungu la kumi ila sijaweza mpaka sasa.
Mfano kwa mwezi uliopita nilipata kama milioni 2 na laki 3 hibi hivi ila nikajikuta naishia kutoa zaka kama elf 80 hivi, Mtindo wangu wa kutoa zaka Huwa nagawa gawa hizi buku buku na elf 2 kwa watoto wa mtaani, nikikuta mtu anauza miwa na karanga kwenye ungo nampa elf 2 nasema ntapitia baadae ila sirudi, n.k.
Yani kiufupi nakuta matumizi yananibana sana na naanza kujidanganya yana umuhimu sana kuzidi zaka, mlioweza kufikisha hio 10% ya kipato kile halali naombeni ujuzi.
Hakika mkuu,umenena vyemaDaah aisee... Zaka Ni amri sio hiari ujue? Hata kiwe kidgo vipi Ni lazima utoe!! Lengo la zaka Ni kumwonesha Mwenyezi Mungu utii wetu je tutamheshimu kwa kila Pato letu? Kimbula imeandikwa mheshimu Bwana MUNGU wako kwa Mali yako yote... Hivyo Zaka ni agano la MUNGU na mwanadamu lililoasisiwa na Yakobo.... Zaka imekua shida ivi je Malimbuko itakuaje sasa[emoji1]
Hiyo 10% si yake mkuu.Ni ya MunguNamdanganya kvp? Kwahy kama hana pesa ya kutoa 10% au majukumu yake yanambana mpaka kushindwa hy 10%. unataka akaibe?
SureMbinu ni moja tu. Panga bajeti yako kwenye kiasi kinachobaki baada ya kutoa zaka. Kinyume na hapo zaka hutawezana nayo
Asante mkuu ubarkiwe Sana.Hakika mkuu,umenena vyema
Kutoa ni moyo, si utajiri. Na unatoa kwa kadiri ya uwezo wako, ukijifilisi itakuwa aje?Kwangu mimi kwa lgha nyepesi Zaka ni kutoa 10% ya ulichopata kwa jasho lako kihalali kiende kubeba wenye shida, binafsi naiona ni kama kodi fair kabisa ya kuweza kuishi na kupata rizki kwenye dunia hii ambayo ina mwenye nae alieiumba.
Nadhani huwa inahesabiwa zaidi unapomsaidia mtu mwenye shida na hawana ukaribu na wewe ama mnajuana kwa mbali, wale mnaojuana karibu huwa ni msaada na si zaka.
Ni adaka pekee huwa natoa kanisani lakini kuhusu Zaka huwa najaribu kuitoa kwa watu wenye shida naokutana nao ila hadi sasa sijawai toa 10%>
Binafsi nineshindwa kuweza kufikia hio asilimia 10, huwa bili zinanizonga najikuta bili zangu inabidi ziwe na kipaumbele kuliko hii zaka ambayo naichukulia kama kodi ya Sir God alienipa uhai moaka sasa.
Tangu naanza kupata elf 30 kwa mwezi hadi sasa nikiwa naweza kupata milioni 2 hadi 3 kila mwezi nikiri wazi nilikuwa nahitahidi kutoa fungu la kumi ila sijaweza mpaka sasa.
Mfano kwa mwezi uliopita nilipata kama milioni 2 na laki 3 hibi hivi ila nikajikuta naishia kutoa zaka kama elf 80 hivi, Mtindo wangu wa kutoa zaka Huwa nagawa gawa hizi buku buku na elf 2 kwa watoto wa mtaani, nikikuta mtu anauza miwa na karanga kwenye ungo nampa elf 2 nasema ntapitia baadae ila sirudi, n.k.
Yani kiufupi nakuta matumizi yananibana sana na naanza kujidanganya yana umuhimu sana kuzidi zaka, mlioweza kufikisha hio 10% ya kipato kile halali naombeni ujuzi.
Nasubiri majibu hapaHivi kwenye Agano Jipya Nyakati za Yesu Kristo je Kuna mahala alifundisha kuhusu kutoa Zaka ?
Nani mwaminifu wa kupokea zaka, kwa matumizi gani au inakuwa kama unaitupa tu bora nia yako ni kutoa zaka?Daah aisee... Zaka Ni amri sio hiari ujue? Hata kiwe kidgo vipi Ni lazima utoe!! Lengo la zaka Ni kumwonesha Mwenyezi Mungu utii wetu je tutamheshimu kwa kila Pato letu? Kimbula imeandikwa mheshimu Bwana MUNGU wako kwa Mali yako yote... Hivyo Zaka ni agano la MUNGU na mwanadamu lililoasisiwa na Yakobo.... Zaka imekua shida ivi je Malimbuko itakuaje sasa[emoji1]
Ndio.. pale aliposema ya MUNGU mpe MUNGU na ya kaisari mpe kaisari..Hivi kwenye Agano Jipya Nyakati za Yesu Kristo je Kuna mahala alifundisha kuhusu kutoa Zaka ?