Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

Zaka ni ishara ya utii kwa Mungu, na Sadaka ni ishara ya upendo kwake.

“Mpende Bwana Mungu wako...”

Kutoa zaka na sadaka ni kutekeleza amri za Mungu.

Kama unaye Mungu.
Mkuu naomba mafundisho ya Yesu yanayotufundisha kuwa zaka ni lazima
 
Hadi hapo nakutangazia amani malangoni pako na wanao watajaa amani .Milango unayoitikisa kwa hicho unachoita kidogo ikumbuke comment hii ndani ya 2 to 5 yrs utakuwa mwingine kabisaaa.
Mimi waga inarudi maradufu ndani miezi kadhaa tu..halafu sio kwa hela tu bali na baraka nyingine ..haya mambo zamani nilikuwa siamini ila aisee ni kweli
 
Zak ni 10% na Sadaka ni 10% = 20%

20/100 × 50000 = 10,000 Zaka na Sadaka Jumla.

Zaka na Sadaka ni Kwa ajili ya kueneza Injili na Kwa ajili ya Watoainjili. Inatolewa kanisani au Kwa utaratibu mwingine uliotolewa na kanisa.
Asilimia 10 ya faida au mapato?
Nipe huo mfano kwa mfanyabiashara mwenye mtaji wa 500,000 yeye zaka yake unacalculate vipi
 
Kwanza unisamehe kwa kuchelewa kukujibu swali lako ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi zaidi. Turudi kwenye swali lako katika agano jipya wapi Yesu alifundisha kuhusu kutoa zaka? Kama kawaida twende taratibu mpaka tupate kweli yote imeandikwa tena mtaifahamu, nayo iyo kweli itawaweka huru na kweli ni neno la Mungu.

Mathayo 23:23 Ole wenu walimu wa sheria nanyi Mafarisayo! Ninyi ni wanafiki! Mnampa Mungu sehemu ya kumi ya chakula mnachopata, hata mnanaa, binzari na jira Lakini hamtii mambo ya muhimu katika mafundisho ya sheria; kuishi kwa haki, kuwa wenye huruma, na kuwa waaminifu. Haya ndiyo mambo mnayopaswa kufanya. Na mwendelee pia kufanya mambo hayo mengine.

Haya ni maneno ya Yesu mwenyewe alipokuwa akisema na waandishi na mafarisayo Yesu alikuwa akiwaambia wafarisayo kuwa wao mafarisayo wanalipa zaka ya kila wapatacho lakini hawatii mambo ya muhimu. Yesu alikuwa anawaonya mafarisayo kwamba wanashika vitu flani flani na kuacha vitu vya muhimu zaidi kama kuishi kwa haki, kuwa na huruma na kuwa waaminifu lakini pia aliendelea kusisitiza waendelee pia kufanya na hayo mengine ambayo ni yapi? (Mnampa Mungu sehemu ya kumi ya chakula mnachopata, hata mnanaa, binzari na jira). Hivyo kwa andiko hili Yesu anatuambia pamoja na kuwa tunapaswa kulipa zaka lakini ni muhimu sana kuishi kwa haki, kuwa wenye huruma, na kuwa waaminifu. Tambua ya kuwa zaka haikupeleki mbinguni, zaka itakufanikisha hapa duniani tu.

Zaka imetajwa tena katika Luka 18:9-12 9
Walikuwepo baadhi ya watu waliojiona kuwa wenye haki na waliwadharau wengine. Yesu alitumia simulizi hii kuwafundisha: 10 “Siku moja Farisayo na mtoza ushuru walikwenda Hekaluni kuomba. 11 Farisayo alisimama peke yake mbali na mtoza ushuru. Farisayo aliomba akisema, ‘Ee Mungu, ninakushukuru kwa kuwa mimi si mwovu kama watu wengine. Mimi siyo kama wezi, waongo au wazinzi. Ninakushukuru kwa kuwa mimi ni bora kuliko huyu mtoza ushuru. 12 Ninafunga mara mbili kwa wiki na kutoa sehemu ya kumi ya vyote ninavyopata!’
Yesu alitoa mfano wa Farisayo na mtoza ushuru yule Farisayo alijigamba maana aliona anafanya yote kwa usahihi na Yesu hakukosoa kufanya hayo bali akosoa kujikweza kwa yule mfarisayo.

Kwa muda wako utasoma Waebrania 7: 1-6 ili ujue kwanini haipaswi kutoa fungu la kumi kwa kila mtu isipo kuwa kwa watumishi wa Mungu au kanisani tu.

Asante na Ubarikiwe sana
Mkuu kwa maelezo yako hapo hakuna uthibitisho kuwa Yesu alifundisha kuwa kutoa fungu la kumi ni lazima. Unaungaunga mambo hili kuhalalisha hisia zako
 
Wapi atakutana na Mungu ampe hiyo 200k?
Mkuu yamkini hulijui neno la MUNGU kabisa... Pumzi unayopumua hua anakutania naww anaiweka puani mwako? Baraka anazowapa watu hua anakutania nao anawapa mikononi?
 
Mkuu yamkini hulijui neno la MUNGU kabisa... Pumzi unayopumua hua anakutania naww anaiweka puani mwako? Baraka anazowapa watu hua anakutania nao anawapa mikononi?
Mkuu jibu swali acha longolongo. Usilete vitisho jibu swali.
 
Hilo fungu la 10 labda liwe elf 10 tu. Hela ilivyo ngumu nikatoe laki 2 kizembe
 
Mkuu jibu swali acha longolongo. Usilete vitisho jibu swali.
Mbna mekujibu mkuu au unataka nijibu vpi? Ukiwapa watumishi wa MUNGU eg Mapadrii,wachungaji,manabii etc unakua umempa Bwana MUNGU...
 
Mnaosema fungu la kumi sio lazima upeleke kanisani mnampotosha mwenzenu, maelekezo ya bibilia kuhusu fungu la kumi ni kwa kuhani tu na sio vinginevyo, kulikuwa na maana Mungu kuamuru makuhani kupewa Hilo fungu la kumi, walitakiwa wagawe kwa walawi(watumishi wa madhabahuni) wagawe Kwa yatima na wageni wanaofika kanisani wanahudumiwa Kwa hilo fungu la kumi, fungu la kumi linatakiwa kuwa kamili sio kwa mafungu alivyosema mtoa mada. Kwa kuhutimitisha ndugu mtoa mada mpaka sasa haujatoa fungus la kumi kwa ukamilifu, na ili uweze kutoa kwa ukamilifu usitangulize mahitaji yako ambayo hayawezi kutoshelezwa Kwa huo mshahara, waza kwanza aliyekupa nguvu za kupata Hela.

Kingine usipende kuacha Hela zako kwa mtu usiyemjua Hela zako zaweza kukufunga
 
Asante Sana mkuu
 
Makuhani wengine Wana tofauti gani nahao watu wengine????... Makuhani wengine ni hatari kuliko walozi wakiikaribia Hela yako !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mimi kwa lgha nyepesi Zaka ni kutoa 10% ya ulichopata kwa jasho lako kihalali kiende kubeba wenye shida, binafsi naiona ni kama kodi fair kabisa ya kuweza kuishi na kupata rizki kwenye dunia hii ambayo ina mwenye nae alieiumba.

Nadhani huwa inahesabiwa zaidi unapomsaidia mtu mwenye shida na hawana ukaribu na wewe ama mnajuana kwa mbali, wale mnaojuana karibu huwa ni msaada na si zaka.

Ni adaka pekee huwa natoa kanisani lakini kuhusu Zaka huwa najaribu kuitoa kwa watu wenye shida naokutana nao ila hadi sasa sijawai toa 10%>

Binafsi nineshindwa kuweza kufikia hio asilimia 10, huwa bili zinanizonga najikuta bili zangu inabidi ziwe na kipaumbele kuliko hii zaka ambayo naichukulia kama kodi ya Sir God alienipa uhai moaka sasa.

Tangu naanza kupata elf 30 kwa mwezi hadi sasa nikiwa naweza kupata milioni 2 hadi 3 kila mwezi nikiri wazi nilikuwa nahitahidi kutoa fungu la kumi ila sijaweza mpaka sasa.

Mfano kwa mwezi uliopita nilipata kama milioni 2 na laki 3 hibi hivi ila nikajikuta naishia kutoa zaka kama elf 80 hivi, Mtindo wangu wa kutoa zaka Huwa nagawa gawa hizi buku buku na elf 2 kwa watoto wa mtaani, nikikuta mtu anauza miwa na karanga kwenye ungo nampa elf 2 nasema ntapitia baadae ila sirudi, n.k.

Yani kiufupi nakuta matumizi yananibana sana na naanza kujidanganya yana umuhimu sana kuzidi zaka, mlioweza kufikisha hio 10% ya kipato kile halali naombeni ujuzi.
Bado kuna watu wajinga kiasi cha kutoa zaka kwa dini kuendelea kuwaibia? Ndiyo maana matapeli wa kidini wamechipuka wengi ili wapate ulaji huu rahisi. Mungu ahitaji madafu yako maskini wewe unaibiwa
 
Hakuna MTU nilempangi matumizi, hapo Ni kuamua mwenyew utoe uwe na mahusiano mazuri na MUNGU wako au usitoe kwa hasara nafsi yako mwenyewe
Hakunaga Mungu anayetaka utoe zaka ndo akupende..hao ni wachungaji na mapadre ndo wanahizo pigo
 
Back
Top Bottom