Yes fanya hivyo,Mama angu mlezi alifariki April 10 2019, toka kipindi hicho hua namuota sana. Mara nyingi nilikua namuota tupo kwenye nyumba niliyokulia namuona anapika. Mwezi uliopita nilimuota kafariki wakamleta kanisani akiwa kavishwa sanda. Niliokopa sana.
She was muislim, nimeulizia kwa wenye uelewa wa dini hii wananishauri nikamfamyie kisomo hiyo hali inaweza kuisha. Naplan kufanya hivyo siku moja, Hopefully Mungu ataniwezesha
Pole Sana,Uzi mchungu sana huu leo namzika mamangu kipenzi Kiufupi wacha nilie tu maana maumivu hayaelezeki
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Pole sana Mungu akutie nguvuWandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza ila sometimes inabidi nifanye ujinga tuu ili kupoteza mawazo.
Pole sana mkuu.Wandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza ila sometimes inabidi nifanye ujinga tuu ili kupoteza mawazo.
Umenikumbusha sanamu la mashujaa wa majimajiAliekwisha kufa siyo ataekufa tena, ni sisi tuliobaki ndio tutafuata nyayo zao, wao wametimiza wajibu wao, uliobaki ni wetu!
Kuna ile moment yakushusha jeneza,kuweka mchanga, pale ndio uchungu unzidi pale unapoamini kuwa kweli huyu mtu sitomuona tena.Uko kwenye gari subirigi ile yakuweka mchanga ndg
Pole sana ni hali ngumu sana asikwambie mtu ila yaache machozi yatoke usiyazuie.. Machozi ni tibaWandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza ila sometimes inabidi nifanye ujinga tuu ili kupoteza mawazo.
Pole rafikiUzi mchungu sana huu leo namzika mamangu kipenzi Kiufupi wacha nilie tu maana maumivu hayaelezeki
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mimi nilishindwa kulia baadae uchungu nusura unipe uchizi.Pole sana ni hali ngumu sana asikwambie mtu ila yaache machozi yatoke usiyazuie.. Machozi ni tiba
Machozi hupunguza uchungu
Machozi huonesha kujali
Machozi huonesha upendo
Usiyazuie yaache yatoke.. Usipomlilia sasa utamlilia lini!?[emoji24]
Ninapokumbuka kile kipindi kile basi tuu[emoji25][emoji24] ilikuwa mwezi wa tatu siku chache mbele kabla ya birthday yake[emoji24] tuko kikaoni simu nimeweka silent mode .. Halafu ikaingia msg...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].. Mom was no more[emoji25]Mimi nilishindwa kulia baadae uchungu nusura unipe uchizi.
Machozi ni dawa
Wameandika hivyo?Umenikumbusha sanamu la mashujaa wa majimaji
Duh kweli chini ya 50 inahuzunisha sana.Wandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza ila sometimes inabidi nifanye ujinga tuu ili kupoteza mawazo.