Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Anataka kupata experience halisi ya wadau. Pia waseme wanaishi ulaya gani. Jukwaa kubwa hili kuna watu wanajifanya wapo US kumbe in usa river, ama wengine wapo hapo tandale. 😅😅😅Sio kienyeji halisi kwa maana wanawalisha madawa sana na wao ndio wanzilishi wa kuku za kisasa so vitu vingi vyao sio original . Why unauliza si ugoogle