Mlioishi Ulaya na Amerika, eti huko wazungu wanakula kuku wa kienyeji au wa kisasa?

Mlioishi Ulaya na Amerika, eti huko wazungu wanakula kuku wa kienyeji au wa kisasa?

Sio kienyeji halisi kwa maana wanawalisha madawa sana na wao ndio wanzilishi wa kuku za kisasa so vitu vingi vyao sio original . Why unauliza si ugoogle
Anataka kupata experience halisi ya wadau. Pia waseme wanaishi ulaya gani. Jukwaa kubwa hili kuna watu wanajifanya wapo US kumbe in usa river, ama wengine wapo hapo tandale. 😅😅😅
 
Hadi makuku mataahira yanayokua kwa wiki 2 tu? Ndiyomaana Vijana siku hizi wanaota manyonyo, kuku mataahira ni sumu tupu, pia ni tasteless kabisa sababu ya midawa, kuwa makini usijizolee kansa zinazoepukika.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hiyo umeona kwenye kuku peke yake??
Watu mnakula soda, juice, maji haya mnaita maji safi na mavyakula kibao yaliyoongezewa preservatives alafu kuku ambaye amekuzwa kisasa unasema utapata cancer ?? Hii kauli ya kusema kuku wa kisasa wanamadhara mara nguvu za kiume sijaielewa mpaka sasa bado
 
Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli.

Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna hawahawa broiler na je ulaya huko wanafuga pia wa kienyeji kama hawa wa kwetu.?

Wazungu unawaona hivyo wakija bongo tu, huku walipo wanabanana tu kama ilivyo mbagala na kitunda kiongozi. Masoko yaleyale na ukitaka kitu cha kienyeji lazima uingie shamba km huko tu, then fikiria km US kuna watu 300+ milioni hao kuku wangapi wanatakiwa deile then unawafuga wapi watoshe. Halafu wafanyabiashara tabia zao zinafanana dunia nzima baba, wanazalisha wauze fasta watunishe mifuko so unapata jibu sasa.
 
Hiyo umeona kwenye kuku peke yake??
Watu mnakula soda, juice, maji haya mnaita maji safi na mavyakula kibao yaliyoongezewa preservatives alafu kuku ambaye amekuzwa kisasa unasema utapata cancer ?? Hii kauli ya kusema kuku wa kisasa wanamadhara mara nguvu za kiume sijaielewa mpaka sasa bado

Wabongo wana majibu ya kila kitu muda wote, hatunaga kufikiria kitu sisi, majibu simple tu kwa complex issues ndo maana mitume na manabii wa kibongo wanatupiga sana.
 
Hiyo umeona kwenye kuku peke yake??
Watu mnakula soda, juice, maji haya mnaita maji safi na mavyakula kibao yaliyoongezewa preservatives alafu kuku ambaye amekuzwa kisasa unasema utapata cancer ?? Hii kauli ya kusema kuku wa kisasa wanamadhara mara nguvu za kiume sijaielewa mpaka sasa bado
Bila kuthibitisha kuwa huwa nahangaika na soda, juice, ni ubatili mtupu, iwe vipi nitambue kuku mataahira yasiyo na baba wala mama afu nishindwe kujua soda ni mrundikano wa sukari kali sana, presative chemical, flavor, color na maji? Pevuka kiakili wewe.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Mimi niliishi Washington DC kule kuku unamkuta akiishachinjwa na kutenganiishwa vipande vipande kwa ajili ya kuuzwa kwenye supermarkets. Hakuna kuku wa kienyeji wala sikuona hata banda la kuku wawe wa kisasa au kienyeji ila nilibahatika kuona bucha ya nyama ikiendeshwa na Wapakistan.
 
Bila kuthibitisha kuwa huwa nahangaika na soda, juice, ni ubatili mtupu, iwe vipi nitambue kuku mataahira yasiyo na baba wala mama afu nishindwe kujua soda ni mrundikano wa sukari kali sana, presative chemical, flavor, color na maji? Pevuka kiakili wewe.
Wewe baki na ujinga wako wa kijima tu, hakuna kuku asiye na baba na mama.
 
Bila kuthibitisha kuwa huwa nahangaika na soda, juice, ni ubatili mtupu, iwe vipi nitambue kuku mataahira yasiyo na baba wala mama afu nishindwe kujua soda ni mrundikano wa sukari kali sana, presative chemical, flavor, color na maji? Pevuka kiakili wewe.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Usitake kusema hununui hata mafuta ya kula mkuu, huezi kuepuka hivi vitu kama hutonunua directly basi utakula kwenye bidhaa nyingine
Chakula kina uandaaji wake, cancer utapata kma hauna maandalizi mazuri, hii hii mihogo ukikaanga kupitiliza utapata madhara. Hayo mambo ya kemikali sijui nn ni kudanganyana, kemikali tunazila kwa kila chakula
 
Kuna wanaowafuga kwa uamuzi wao na kula mayai yao wakitaga, hao wa nakuwa na haswa eneo la nyuma ya nyumba zao wanawajengea kibanda. Wanaokota mayai na kula, wa naamini kwenye kula mayai bora.
Hapo sasa labda ndio sio wa kienyeji wazururaji 😊 na wakitaka wanawala kwa raha zao. Kuna watu wa kuchinja ki halal wanasaidia hayo. Ila wazungu wao kula tu hawana ya halal ways.

Asilimia kubwa wa nanunua Kuku, % kubwa ya hao ni broiler.
 
Back
Top Bottom