Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 683
- 1,111
mabibo ni sehemu ya kumwaga kinyesi ya jiji,wananchi walifuata dampo wakaweka makazi yao....umeshakula mchana?Eeh Niko mabibo apah
mabibo ni sehemu ya kumwaga kinyesi ya jiji,wananchi walifuata dampo wakaweka makazi yao....umeshakula mchana?Eeh Niko mabibo apah
Hapa hawezi tena kutafuta msaada nimefunga hesabu.Aaah kmmmk hii haina come back 😂😂
Geita hatupokei tena wahamiaji wasiokuwa na mtaji wa at least US$5 million!Unaacha kwenda Geita huko Dar unakuja kula rumba tu kijana
😂😂 kuna mtu kanipa code kuna watu Geita wanashindia Mangamba na hawana mia mfukoniGeita hatupokei tena wahamiaji wasiokuwa na mtaji wa at least US$5 million!
Hao ndio tumemuomba Trump atuletee ICE yake iwafurushe!😂😂 kuna mtu kanipa code kuna watu Geita wanashindia Mangamba na hawana mia mfukoni
Nipo katorokwanini wewe huendi katoro ?
Mabibo ni dar vijijiniMe ni jinsia angu ni me umri Wang ni 20years old na ninapo fikia mwenyeji wangu kanambiy ni mabibo