Nenda Katoro mkuu.Habari za jion wakuu
Kwanza kabisa Mimi ni mkazi wa mafinga ila kwa sasa Niko kwenye gar naelekea dar ila sjawai fika kabla i
Hii ndo mara yangu ya kwanza kuenda Dar kwa hiyo naombeni mwongozo
Wenzako wanaulizia taarifa za sehemu watakayokwenda miezi 6 kabla ili wafanye maandalizi. Wewe upo kwenye basi njiani unakuja unataka kukuelezee mazingira ya Dar ili uweze kubadili au kujiandaa na nini ukiwa ndani ya basi?Mkuu nauliza ili nipat muongozo nijue pakuanzia
Aaaah nashukuru mkuuAise Kalibu pande za mabibo,hila hapo kupo fresh usafili pand zote unapata,kwa mpambanaji nakushauli hish mabibo,chumba bei powa, chakula soko la mabibo lipo chakula bei pow,hapo teyali ushafanikiw hila kuwa makini na mahusiano ya kimapenz,
Nashukur mkuu kwa mwongozoMuongozo wa Dar
Mkojo wako unalipia
Maji ya kunywa yanauzwa inategemea kandoro au chupa
Kama umetoka Mafinga na umekuja na makoti/ masweta huko ni joto kali sana
Dar ni ubepari hakuna ujamaa
Kila kitu ni hela
Ukizubaa utashangaa unajikuta redioni ukitangazwa
Kila mtu ana ustaarabu wake shikamoo sio kipaumbele
Usafiri ni wakugombania yapo mengi
Aah mkuu kwetu so kijijinWenzako wanaulizia taarifa za sehemu watakayokwenda miezi 6 kabla ili wafanye maandalizi. Wewe upo kwenye basi njiani unakuja unataka kukuelezee mazingira ya Dar ili uweze kubadili au kujiandaa na nini ukiwa ndani ya basi?
Wee njoo tu utakachokutana nacho ndicho ulichokifuata na ndicho utakachokwenda kuhadithia ndugu zako huko kijijini.
Mkuu njoo hapa geita tusage mawe nightAah mkuu kwenye machimbo Nisha wai endaga chunya ko siji jaribu ten
kwanini wewe huendi katoro ?Nenda katoro acha upumbavu
Watu wanatengeneza billions of dollars
Na ujana ni wap mkuu.Uzee mwisho chalinze
Sawa mkuu... kuwa makini hukoNimesaga sana chunya mkuu
Unakubali nini mkuu.Naqubar mkuu