Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Hakikisha unafika uwanja wa fisi bila hivyo dar utakuwa hujafikaWakuu Nisha fika dar
Hakikisha unafika uwanja wa fisi bila hivyo dar utakuwa hujafikaWakuu Nisha fika dar
mjini msingi ni kiunoHabari za jion wakuu
Kwanza kabisa Mimi ni mkazi wa mafinga ila kwa sasa Niko kwenye gar naelekea dar ila sjawai fika kabla i
Hii ndo mara yangu ya kwanza kuenda Dar kwa hiyo naombeni mwongozo
ungebaki Kinyanambo mkuu, Dar katili saanaHabari za jion wakuu
Kwanza kabisa Mimi ni mkazi wa mafinga ila kwa sasa Niko kwenye gar naelekea dar ila sjawai fika kabla i
Hii ndo mara yangu ya kwanza kuenda Dar kwa hiyo naombeni mwongozo
umeshafika huko Mabibo?Katili kivip
Umepaonaje?Wakuu Nisha fika dar
😁😁😁 mbona unamtishaMuongozo wa Dar
Mkojo wako unalipia
Maji ya kunywa yanauzwa inategemea kandoro au chupa
Kama umetoka Mafinga na umekuja na makoti/ masweta huko ni joto kali sana
Dar ni ubepari hakuna ujamaa
Kila kitu ni hela
Ukizubaa utashangaa unajikuta redioni ukitangazwa
Kila mtu ana ustaarabu wake shikamoo sio kipaumbele
Usafiri ni wakugombania yapo mengi
hii n mara ya pili naona hii comment yako. kuna uzi pia ulicomment hv nikadhan utani kumbe uko serious. nkwambie tu, yale mazngra unayoyaona kwny TV ni ya wachache. watu wengi dar wanaish kwny vijumba vilivyochakaa, bati ina kutu, hata kula yao ni shda.Mm mwnyw ndoto zangu siku moja nifike Dar, kila nikiangalia tv hua navutiwa na muonekano wa dar.
Kabla cjafa aisee lazima nije Dar japokuwa sijui nitafikia wapi mana sina hata ndugu huko.
mwambie kabisa kwamba mabibo ni dampy area. kipindi cha mvua chumbani kila kitu kinakua na unyevu nyevu na kuna baadh ya mitaa mvua ikinyesha maji yanaingia ndani kabisa.Aise Kalibu pande za mabibo,hila hapo kupo fresh usafili pand zote unapata,kwa mpambanaji nakushauli hish mabibo,chumba bei powa, chakula soko la mabibo lipo chakula bei pow,hapo teyali ushafanikiw hila kuwa makini na mahusiano ya kimapenz,
utaacha ndara ohoooo😂😂😂Dar nasikia kuna maghorofa marefu kama Beijing. Na mimi siku nikipata nauli lazima niende.
Eh bc mm ntakuwa naona mazingira ya mjini na sio maisha ya uswahilihii n mara ya pili naona hii comment yako. kuna uzi pia ulicomment hv nikadhan utani kumbe uko serious. nkwambie tu, yale mazngra unayoyaona kwny TV ni ya wachache. watu wengi dar wanaish kwny vijumba vilivyochakaa, bati ina kutu, hata kula yao ni shda.
Aaah hii haina come back 😂😂Unauliza habari za sehemu wakati upo njiani unakuja?🤔 We fika utajua huku huku na kiherehere chako cha kuingia msalani bila maji huku umebanwa na tumbo la kuendesha.
😂😂Unaacha kwenda Geita huko Dar unakuja kula rumba tu kijana
Kwahiyo Kuna shughuli ipi ya kupiga pesa bila msoto?Aaaah ningekua sjawai fika kwenye machimbo ningesem ushaul wako mzur ila kwenye machimbo Nisha fika na msoto wake naujua
Ntamuomba mh RC anipe mgambo mmoja wa kunilindautaacha ndara ohoooo😂😂😂