Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
Hapo umemaliza form four,umesikilizia kwenda four five imeshindikana, ukaona utafute kazi dar umepata hapo mabibo. Sawa lakini nakukumbusha, dar utaishi,utakula,utakunywa ila nyumbani hautarudi na chochote zaidi ya furushi la nguo,kiswahili cha dar,na usela mavi. Kama utakuwa mjanja,kukikucha tu fungasha mizigo yako urudi mafinga ukakabiliane na changamoto za nyumbani. Samaleko.