Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Hao wa utu na utulivu ndio wabaya sasa.. Maana kwa unavyomchukulia siku ukigundua what's behind her inaweza ikakufika parapanda
Hahah najua na inaumiza haswa heri udate na Malaya anaetoka na wanaume 70 unafahamu kulkon Huyo unayeamini ana utulivu kukusaliti na mtu mmoja..
En I pray kwa sir GOD nfahamu hili nifanye maamuzi
 
Nakuonea huruma ila nashindwa cha kukushauri maana hata ningekua huyo mtoto wako pia nisingekusamehe.
 
Ulishamwathiri mtoto wako kisaikologia na hatokuja kusahau kabisa! Fikiria kama aliuona uchi wako! Itamchukua muda mrefu kukusamehe.
Kwa kuwa maji yakimwagika hayazoleki la kwanza tubu dhambi hiyo na kuijutia mbele za Mungu ili Mungu akusaidie.Mwone Mchungaji au viongozi wa Kanisa waangalie jinsi ya kufanya.
 
Mungu akubariki kwa ushauri huu. ni vyema kutatua tatizo kuliko kukaa nalo ndani mwishowe liwaumize nyote kwa aina tofauti tofauti. Mimi nashauri tafuta busara hekima na kulikiri kosa na likiisha ni kuomba rehema za Mungu moyo utuwame mahala pamoja usitange tange na ulimwengu tena, pole sana nakuombea kheri upite vyema ktk hilo.
 
Nahao viongozi wa Dini wajitahidi pia kusema na huyo kijana maana mioyo ya wanadamu hubeba vitu vinavyowezekana kuvishusha kama hekima na busara itatumika.
 
Yaani mama wa umri zaidi ya 50yrs unakuwa malaya??
 
Tukio limetokea 10 yrs ago mtoto bado anakuvimbia na wewe unamnyenyekea, kwanza 26 anafanya nini hapo nyumbani atoke akajitegemee mkubwa sana huyo.

Cha kukushauri mwambie mumeo kilichotokea, jiandae na kuvunjika kwa ndoa, upo njema anza Maisha kivyako.
 
Sikuwa na yule baba kwa sababu ya pesa.
 
Hii ngumu mwenzangu. Hali niliyonayo sasa achatuuu
 
Kukaanae nimekaanae sana
 
Ishu ni mume wangu Ashtabula na wasiwasi kuwa mimi na mwanangu mahusiano sio mazuri , atataka kujua ni shida.
 

Kwanza pole .... Kumwambia mshua sina hakika ila jeraha alilonalo ni kubwa sana maana cjajua uhusiano wake ma baba upoje ..... kama wew ni mtu wa dini jaribu kutumia vifungu vya biblia mweleze jishushe tafta auting naye zungumza naye kwa kina maana amesha kuwa mtu mzima .... naona ameweka jeraha kubwa sana moyoni kwa siku za usoni
 
Inamana ata tangaza kanisa mambo kama haya hayata leta picha nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…