Watoto wa kwanza tuna wivu na mama zetuNajua hilo kuna kipindi nilipuuza tuu. Ila si unajua yule ni mtoto wangu, sasa mahusiano naye yamekufa kabisa kwa sasa.
Nawaza sana sijui ananionaje mimi mama yake.
Mzinzi anatakiwa kunyanyaswa hivyo,mpuuzi mkubwatulia fanya kama hakijatokea kitu na ujiandae tu kisaikolojia kwa chochote kile kitakachotokea,, halafu huyo mtoto unavyomnyenyekea ndo unampa kichwa aendelee kukunyanyasa
Aisee, una ujasiri sanaMimi ni kawaida yangu kumcheat mume wangu, japo hajawahi kunitilia hofu kama nimewahi kumcheat maana mara nyingi navizia akiwa safarini ndo ninafanya hivyo. Maana ninajua kumcheta mwanaume ni hatari sana kwani wanaume wana wivu sana na hasira, kama mume wangu namfahamu ni mtu mwenye hasira sana, so nilijitahidi asijue kabisa.
Hata mimi niliwaza hivi! Kwa kifupi hataoa!Huyo mtoto hawezi kuamini mwanamke yoyote kwenye maisha yake
DuuuNdo hivyo yule maza nae alikujaga kujiuaa aisee...!!
@startermama firstborn , Chukua huu ushauri kama ulivyo.kosa lako lilikuwa kutumia nguvu mtoto akusamehe au muelewana tena huyo ndio mzuri hajawa mnafiki kwako wala kwa baba yake vinginevyo mngerekebisha na mzee angejua ndio ungekuwa balaa kwa wote ww na mwanao mwanao amekusadia kukaa mbali na maujinga Yako ww muheshimu kwa Hilo unavyotaka awe ni kuwa mwanaume mjinga mtoto wa kiume anayejitambua na anatajia kuwa baba kesho hawezi kumsaliti baba yake kijinga kwa makosa ya mama yake
Bro, acha personal attack instead shauri,tunaambiana kila siku apa tuyaongee tunayopitia tusikae nayo bcos of mental illness watu wanajiua na wengne vitu vya ajabu vinavyocost maisha ya watu wengneYou are cheating and proud. Eti, huwa nina kawaida ya kumcheat mume wangu. Nafanya hivyo akisafiri.
Kuna wanawake wapumbavu mno. Wewe ukiwemo.
Anyway, dogo atakurudia endapo tu atapata wa kumuangushia hilo zigo. Ni mzito mno kuubeba, ila anapaswa mtu mwingine ndiye amuapproach na kumueleza. 26 years si haba, ni mtu mzima tayari.
Tafuta mwanaume wa maana, aongee naye. Dogo akiongea atatua hilo zigo na maisha yataendelea.
Unavyonidai kumuambia umeacha huku huenda anaona nyendo zako, anasema Hiiiiiiiii (in Magu's voice).
Hiv ni kwmb njaa imekua kali mpk watu mnaleta hasira zetu za maisha magumu kwny uzi ambao unahitaji ushauri kuokoa familia ya mtu..Kama watu wote wa wizarani wanaandika kindezi kama wewe, bas ndo maana hii nchi inaliwa kiboya.
Subiri siku yako mumeo akiwa anakukata mapanga af dogo kashika miguu ili usikimbie.
Faken!
Rudia kusoma unaharaka ya nn kucomment na icho ulichouliza kimejibiwatoka ukamatike ulicheat tena?
Mshaur huyo mama usipende kuwa toxic person,izo negative zako hazikusadii ww wala yeyeNina wasiwasi hata hao watoto wana Babazao
Hao watoto Babayao nani
I thought tunaangalia content inasema nn, what's the difference ya mtu mwny ID mia ww mwny ID moja na wote mnatumia fake IDS,we deal na context ya thread acheni ujuaji..Jf watu Wana Id 30 tupoteze muda tu tuwashauri
Afu id mpya unakuta dume linatuchora tu hapa
Sawa mkuu ulieshiba..Hiv ni kwmb njaa imekua kali mpk watu mnaleta hasira zetu za maisha magumu kwny uzi ambao unahitaji ushauri kuokoa familia ya mtu..
Kila mtu anapast yake naye huyu mama kakili kuwa na iyo past ya kumcheat mme wake na hayuko huko tena,sasa kwann usitumie uhuru wa kuandika umu kushauri kuliko kutukana acting like you're a perfect human
Tafuteni pesa msiwachukie wanaowazid maisha
Ndo mana me naamini mtu mwny njaa sio wa kuamini ushauri wao,japo umetukana ila hata ungeshaur na uhakika ungeshauri ujinga,watu mnaingia JF na hamjala ndo matokeo yake haya, kuona mtu yuko wizarani mnashusha hasira zenu