edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Anakuona MalayaNajua hilo kuna kipindi nilipuuza tuu. Ila si unajua yule ni mtoto wangu, sasa mahusiano naye yamekufa kabisa kwa sasa.
Nawaza sana sijui ananionaje mimi mama yake.
Sent using Jamii Forums mobile app