Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

tulia fanya kama hakijatokea kitu na ujiandae tu kisaikolojia kwa chochote kile kitakachotokea,, halafu huyo mtoto unavyomnyenyekea ndo unampa kichwa aendelee kukunyanyasa
Dogo huwezi mtofautisha na ule msemo usemao "tajiri hanuniwi" mpaka hapo dogo hana cha kupoteza kwa mama, keshajivua gamba ndo maana hata gari kaamua kulisusa coz kuendelea kuliendesha ni sawa na kuhalalisha dhambi ya mama kwa baba , maisha hua mepesi na simple kwa mtu asietumia vema ubongo,

Dogo kila akiendesha gari anahisi kabisa anafufua hisia na kumbukumb za tukio, hii inafungua milango ya msongo wa mawazo.
 
Mie mother alitengana na Baba badaye akawa na mchepuko wake anakuja nae nyumbani-nilikuwa naona aibu sana mbele za watu.
Asubuhi jamaa anatoka chumbani kwa mother,nikimueleza mother hata aelewi anasema pale ni kwake na hatuwezi kumpangia.

Asee nilikata mawasiliano na mother karibu miezi 5 sikuwahi kumpigia hata simu-simu anapiga yeye na akipiga namsalimu shikamoo-imeisha na mie na wadogo zangu 3 wote hatukukanyaga nyumbani kwa miezi 5.

Badaye alijirudi mwenyewe,ndipo tukaanza kuwasiliana na kwenda nyumbani.
Wanawake wajinga sana aisee
 
Sipatii picha huyo nwanao alikufumaniwa ukiliwa denda na jamaa.
Huyo mwanao angekuwa wa kike angeona kawaida na isingekiwa issue kwake but huyo wa kiume hawezi kuja kukusamehe mpaka siku anakufa.

Hata ingekuwa Mimi.
 
Nakumbuka nilivyokuwa mdogo 1995 hi i nadhani nilikua chekechea nilikua natoka shuleni sasa napita ofisin kwa mama iki niende nyumbani nikamuona mama anatoka dukani yupo na rafiki wake wa ofisini wa kiume walikua wanatembea wameshikana mikono inaweza kawaida au sio lakini lile tukio liliniuma kweli niliumia sana mpaka nakumbuka hivi wale waliishiaga pale pale au laa japo kwa maisha ya kawaida ni sawa hapa nimekuwa kutembea kama mtu mwanamke nina mazoea nae kushikana mikono fresh ila inaniuma sana

Upande wa baba kunakipindi waliachana na mama kwa miaka miwili hiv au mmoja mzee kashanitambulisha mara kibao rafiki zake wa kike kipindi kile alivyoachana mama niliumia kwa kawaida sana na wengine alikuwa nawaleta ndani anawagonga kwake ila fresh tu mpaka leo tunaongea vizuri tu na wahsarudiana na mama maisha fresh

Ila kile kitu nilivyomuoana mama wameshikana mkono mpaka leo inaniuma

NB wanahms tunawivu sana tunapoana chakula cha baba kinachukuliwa hivyo hi yo tunawivu kama wake zetu wakigongwa njee huyo dogo atosahau kama sijasau ile issue ya mama japo ni kawaida sana ila issue za mzee kuwagonga wanawake ndani kwake kulala nao nishasahau
 
Kinachomuumiza dogo ni kuwa baba yake ni responsible father. Anahudumia kila kitu na anajali welfare ya familia pamoja na kumuonesha mama yao highest degree of love and affection.

Laiti kama baba angekuwa hajali familia na irresponsible haoneshi upendo kwa mama na watoto hapo dogo asingemaindi kabisa. Tena angeona mama amefanya vile kama kutafta relief tu of which ingekuwa valid kulingana na uwajibikaji wa baba kwa familia.
Wanawake Hawa ,vyovyote iwavyo ,kubwa hapa mazingira nikwamba mama alidata na mbungisa la msela (linaonekana nalo singofather)

mapenzi yapo ,wajitahidi kuthibiti hisia na muktadha uangaliwe
 
Mama la Wizarani
Yani Lishangazi kama Lishangazi
Oya Wanangu hii mijimama ni mitamu kinoma
Unalikula na linapokea mikito Kwa miguno na milio ya kwenda.
Mi Nimependa sana ulivojitanabaisha kuwa unapenda sana kuchepuka Maaanina nahamia Wizarani kwako.

Smart Gang😐😐😐😐😐
 
Hapo cha kufanya tafuta watu wenye hekima au wa kanisani, mwaga ukweli kama ulivyomwaga hapo, wakae waongee na mumeo naye ajue. Usubirie kitakachotokea, mume akikubali kukusamehe basi mtamjumuisha na mtoto kwenye mapatano hayo, nadhani hii itasaidia kuliko kukaa nayo moyoni, huenda ukaibua makubwa zaidi
Hapo mtoto pia umeshamuatjiri kisaikolojia.
Ukitekeleza hili jua ndo imekwisha, weka uso mdudu na dogo mwache ajishongondoe.Kwa kuwa kama kweli umeacha acha maisha yaendelee yalivyo na usipoteze muda kumbembeleza utashtukiwa zaidi
 
Smart Gang[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]
Dada angu Mimi hapa Mtaalamia mwenyewe
Nafanya kazi mazingira yoyote wakati wowote.
Sema hapo Juu mnapoteza muda Dada yenu hashauriki ana penda kuchepuka na ntajaza message PM yake
 
Pole sana.
Hilo jambo ninaweza kulimaliza.
Ila mwanao ana roho mbaya sana. Hapaswi kuingilia wivu wa baba yake. Anafanya dhambi.
 
nimeandika nimefuta ila nampongeza sana jamaa kwasabu anauchungu Babaake anasalitiwa ila apoapo anakuonea huruma pia wewe mama ake ndomana mpaka leo hajatoa siri kwa Babaake.

endelea kumpenda mwanao na mumeo pia mwambie lile jambo la aibu ni kovu kubwa moyoni mwako mpaka leo unajutia mwambie akusamehe sana ibilisi alikuvuta mwambie ipo siku utakufa na hatakuona tena..
 
Ngoja nikushauri kwanza.........Acha kuvaa mavazi ya ajabu ajabu.....Kwa mazungumzo yako tu unaonesha unapenda kuvaa mavazi mabaya mabaya au kujipodoa kama Malaya ndio maana dogo Asila hazimuishi anaona kuwa msamaha wake kama mchoro tu.......badilika kwanza kwa mate ndo ndo Ije tabia njema.....jipende ila usikae kutakwa takwa muda wote .......act kama mama yake aliyekupenda happy kabla ujamkosea...na hakika atakusamehe
 
Back
Top Bottom