February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,204
- 3,060
Mechanism nayotumia kuendesha ni amri yangu...niliviamri viumbe vyangu vifate sheria mpaka leo vinafuata...Sheria kama dunia izunguke jua,mwezi uzunguke dunia,Bahari zitembee,miti ioteane,Viumbe hai vyote nilivipa amri mbili Survive and Reproduce.Kati ya hvyo vyote kipi ulianza kuumba na kipi ulimalizia??
Mechanism gani unatumia kuendesha hvyo ulivyoviumba..??
Hv kati ya wewe na ulivyoviumba kipi kimeanza kuexist..??
Kwahyo katka uumbaji wako nyota na sayari sio viumbe..??nimeanza na nyota nikamalizia na Sayari kisha viumbe..
Galaxy gani unaendelea kuumba? Je,zinautofauti na galaxy zile za Samsung?mpaka leo naendelea kuumba galaxy za mbali huko....Mimi
Unamaanisha wewe na wazazi wako umeanza kuexist wewe kwanza??Mimi nimexist kabla ya uumbaji wangu
Kwa binadamu umeweka sheria gani??yangu...niliviamri viumbe vyangu vifate sheria mpaka leo vinafuata
Mbona vinakufa...au amri uliisahau??Viumbe hai vyote nilivipa amri mbili Survive and Reproduce.
Mwisho wa siku gani...???mwisho wa siku nitakuja kuwaadhibu wanaoharibu Survival au reproduction yao/ya wenzao
kwenye hyo dunia na mm nitoe, nimesoma anatomy and physiology ila moyo unaousema ww haupo!.. maumivu unayoyapata hua ni a burning like desire inayosababishwa na hormones!.. natamani kukuelezea vizuri zaidi kisayansi ila nnahofia kupoteza nguvu maana inaonekana uko tayari kubisha na si kunielewa.Kama kwel una moyo wa kisukuma dam pekee basi jua wewe ndio mjinga ila Dunia nzima tunajua kua Kuna moyo wa Mapenzi ambao Hua unauma na pia Hua unafuraisha kama umepinga uwepo wa moyo wa Mapenz kwa binadam basi huwezi kukubal kua Kuna mungu
Ni viumbe ila nilimaanisha viumbe hai...Kwahyo katka uumbaji wako nyota na sayari sio viumbe..??
Galaxy gani unaendelea kuumba? Je,zinautofauti na galaxy zile za Samsung?
Na company/ makao yako yapo wapi?
Unamaanisha wewe na wazazi wako umeanza kuexist wewe kwanza??
-------------------------------------------------------------
Kwa binadamu umeweka sheria gani??
Mbona vinakufa...au amri uliisahau??
Mwisho wa siku gani...???
Adhabu gani utawaadhibu??
Kama utaweza kujibu kwa mtiririko huu Basi naomba ujibu hivi....sio unacomment mara mbilimbili.
Ila wewe si unajiita Mungu bila shaka utaweza..!!
Kwani wewe Mungu unamjua??Halafu Tuheshimiane Mimi sijasema naitwa Mungu
Kwahyo wewe una viumbe vyako tofauti na hivi tulivyozungukwa navyo sisi binadamu??Galaxy nazoumba ni sawa zingine ni zaidi au Chini lakini zinaendana na hii mnapokaa nyie binadam mnaiita milkyway...
Wazazi wako wapo wapi..??Nani kasema nina wazazi?
Kwahyo wewe ni Mwenyezi Mungu ??Mimi ndiyo mwanzo na mimi ndiyo mwisho hivyo kila unachokiona nilikiumba kina mwisho Hata Jua kila Siku linapotoa mwanga na Joto linachoma Hydrogen ipo siku itaisha...Kwahyo Siku ya mwisho ya maisha hapa Duniani naijua mimi.
😅😂 KWA hyo uko nako kuna jf..??Ninapoishi wewe Hupajui lakini njia ya kuelekea unapitia ukanda wa kati ya nyota ya Orion na Beteleguese...
Umeshawachoma wangapi makaidi..??Adhabu nitawapa viumbe wakaidi ya kuwachoma moto kisha kuwafanya wasiexist kabisa,,wale viumbe safi nitawapeleka sehemu nyingine Bora zaidi
Mungu namjua kama wewe unavomjua Ngoswe wa kwenye penzi kitovu cha uzembe.Kwani wewe Mungu unamjua??
Viumbe ninavyo vingi au ulidhani ulimwengu wote mko peke yenu?Kwahyo wewe una viumbe vyako tofauti na hivi tulivyozungukwa navyo sisi binadamu??
Nani kakuambia nina wazazi?Wazazi wako wapo wapi..??
Mzee mimi siitwi Mungu wala mwenyezi MunguKwahyo wewe ni Mwenyezi Mungu ??
Yes ili upate mwanga na joto kuna Hydrogen nimeiweka na inareact kutoa Energy ambayo ni mwanga na Joto(H+H+H+H=He+Energy)Kumbe jua linachoma hydrogen??
Kwasasa nimekuja kutembea kwanza huku duniani.😅😂 KWA hyo uko nako kuna jf..??
Makaidi nitawachoma siku ya mwishoUmeshawachoma wangapi makaidi..??
Iko nje ya Ulimwengu Huu..Kuna ulimwengu mwingine ambao ni bora zaidi ya HuuSehemu gani hyo bora..??
NB:-
MWANZO WA KUJITAMBUA MWANADAM NDO MWANZO WA KUUTAMBUA ULIMWENGU..
Dar ila hadi uangalie vizuri na ilikua jioni hivi karibia giza kuingia ......usiku kabisa kutambua ngumu maana unaweza ukadhani ni nyota tu
[emoji2935][emoji2935][emoji2935][emoji2935]Dar ila hadi uangalie vizuri na ilikua jioni hivi karibia giza kuingia ......usiku kabisa kutambua ngumu maana unaweza ukadhani ni nyota tu
Ngoswe ndo nani kwani..??Mungu namjua kama wewe unavomjua Ngoswe wa kwenye penzi kitovu cha uzembe.
Unavyo wapo mwilini au nje ya mwili??Viumbe ninavyo vingi au ulidhani ulimwengu wote mko peke yenu?
Na Ili upate giza na baridi umeweka nini na nini vireact ..?Yes ili upate mwanga na joto kuna Hydrogen nimeiweka na inareact kutoa Energy ambayo ni mwanga na Joto(H+H+H+H=He+Energy)
Umekuja kula sikukuu na kumpongeza magufuli...??Kwasasa nimekuja kutembea kwanza huku duniani
Aah...kumbee,aisee sikujua kabisaaa kama ile hatari hviiiiMakaidi nitawachoma siku ya mwisho
Unaitwaje??Iko nje ya Ulimwengu Huu..Kuna ulimwengu mwingine ambao ni bora zaidi ya Huu
Nimeshakuthibitishia tayari kwamba Mungu ameumba ulimwengu huu unaonekana kwa macho na usioonekana kwa macho. Na nimekupa mifano ya vitu alivyoumba.Thibitisha Mungu kaumba ulimwengu.
Hapo juu umepiga hadithi tu. Hujathibitisha chochote.
niliona pia Ila sikutilia maananiDar ila hadi uangalie vizuri na ilikua jioni hivi karibia giza kuingia ......usiku kabisa kutambua ngumu maana unaweza ukadhani ni nyota tu
Wewe unataka uthibitisho wa aina gani? Tuanzie hapoHujathibitisha Mungu yupo.
Rudia kusoma kwa makini ulichoandika.
Halafu.
Thibitisha Mungu yupo.