Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Lefu = refu
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Umerudia kazi yako ya ualimu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lefu = refu
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hawa watu kama FaizaFoxy muwe mnawasamehe watakuwa na stress sana za maisha.kwa akili kama hizi si ajabu ukasikia siku moja kajilipua.Zote kheri hizo.
Vyuo vitano na hiki kimoja, vipi bora?:
![]()
Kumbuka hao wote ni wanaume, kondoo na mchungaji wake!
Hawa watu kama FaizaFoxy muwe mnawasamehe watakuwa na stress sana za maisha.kwa akili kama hizi si ajabu ukasikia siku moja kajilipua.
Umerudia kazi yako ya ualimu?
Pole zake huyo mama...huwezi kufanya biashara ya watoto....such is a harmful thing to do and it haunts big time
Wacha biashara, nimetotoa. Wewe umewahi kutotoa watoto?
Huyu mwanamke huyu, bado kidogo atapewa bunHii mada ni very sensitive. Lakini mtu kama FFOxy analeta mambo ya udini na mambo ya kitoto. Utajiheshimu lini faiza?? Utawaheshimu lini binadamu wenzio? Una hisa jamii forum??? Ukinijibu nitakutukana pm maana unakela sana@pistmshai
kinachoudhi ni pale kulawitiana kukifanywa na wa dini yako ni sawaKipi kinachokuudhi?
Wewe unaponiita "Mtakatifu", cheo ambacho Kiislam hakipo, siyo lugha ya kuudhi?
Nnapokwambia Mimi hao "watakatifu" wenyewe wanalawitiana hukohuko makanisani unaudhika? Au wachungaji na mapadri si watakatifu wenu?
Nikuwewekee ushahidi kuwa wanalawitiana kweli.
Kuna mmoja hapa Tanzania anaitwa father Kit Cunningham alilawitiana na wanafunzi kama si shule nzima basi robo tatu huko Soni. Mpaka hiyo habari ipo Kimataifa.
Sasa unachobisha au kinachokuudhi nini? Au ukweli unakuuudhi?
Kama nnayoongea nimeyazusha au nnadanganya basi kuudhika ni haki yako lakini kuudhika kwa huo ukweli ambao unatakiwa uudhike kwa kuyapinga hayo machafu si kwa mimi kukuudhi kwa kuandika ukweli.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Suala la kulawiti sio dini bali ni mtu.Kama kuna kiongozi wa dini analawiti au kulawitiwa basi ni kwa sbb ya ubinadamu wake na si dini yake
Viongozi wa dini wapo walio wema na wasio wema,iwe ktk dini ya ukristo,uyahudi,uislam na ubudha.Suala na kutoka hadharani,kukiri na kutubu ni hatua kuelekea uongofu.
Hakuna mwanadamu aliye msafi,wote waliozaliwa na mwanamke hutenda dhambi na kutubu.Ndio maana kuna nyumba za ibada na mahali pa kuomba toba
Bahati mbaya kuna binadamu hudhani wenzao ni wadhambi kuzidi wao.Hakimu wa kweli ni Mungu,binadamu huongea kwa hisia na hukumu ya husda.
Suala la Fr wa Soni Lushoto liliibuliwa na kanisa lenyewe,hii ni dhana ya kujisahihisha.Ni kama wale wanaolawiti vijana katika shule za dini nyingine tu
Bahati mbaya hizi dini zilizoletwa sbb ya biashara na ukoloni zimewaganda waafrika ktk mioyo na ubongo wao
Lol. DahWewe umehitimu kwenye utovu wa nidhamu, na ni aina mojawapo ya ujinga. Aina nyingine ni kujifanya unajua.
kama unapitia menopause, kuna medications zinazoweza kukupunguzia makali, huna haja ya kuwa na mahasira ya vitu vidogo.
I beg of you to stop this nonsense o evil queen of JF.
Hii inahusianaje na mada inayoendelea?Zote kheri hizo.
Vyuo vitano na hiki kimoja, vipi bora?:
![]()
Kumbuka hao wote ni wanaume, kondoo na mchungaji wake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umeongea fact......Hawa watu kama FaizaFoxy muwe mnawasamehe watakuwa na stress sana za maisha.kwa akili kama hizi si ajabu ukasikia siku moja kajilipua.
Anatamani dunia nzima wangekua waislamu ila ndo hivo haiwezekani ataendelea kubwabwaja kila siku mpk anakufa..... Kila.mtu na anachokiaminiHii mada ni very sensitive. Lakini mtu kama FFOxy analeta mambo ya udini na mambo ya kitoto. Utajiheshimu lini faiza?? Utawaheshimu lini binadamu wenzio? Una hisa jamii forum??? Ukinijibu nitakutukana pm maana unakela sana@pistmshai
Cha msingi wawe hai. Kupatikana ni rahisi..Mkuu asante kwa ujumbe wako ..umeongea kitu cha kweli
ndio mana binafs nilianzisha thread inayohusu mzazi kuweka bond na mwanawe tangu akiwa tumboni
wachache wameelewa ila wengine ndo ile kutupa lulu kwenye zizi la nguruwe.
Lakin nimekupata sawia.
Tuna imani mama atawaona wanawe japo wajue their mother is alive japo hio bond and love inaweza kua shida kidogo, ni mda mrefu sana na zaid hatujui huko kwa miaka 20+ walikua wanaambiwa nini
Kama hii mitoto imekaa miaka yote hii na haiuluzii datails za wazazi wao basi mama mjane ajiandae...,kwa majibu yoteAise inasikitisha sana duuu Mungu amsaidie
wajaribu hapo wanaweza kuwabaatisha
Nimesoma huko juu kuwa walipatikana...rudia kusoma huu uzi kuna mahali kuna taarifa za kupatikana kwao wakiwa salama ,tumshukuru MunguPole zake huyo mama...huwezi kufanya biashara ya watoto....such is a harmful thing to do and it haunts big time
Tunamshukuru Mungu sana asanteKwa mujibu ya maoni ya wachangiaji (comments) kule blogi ya michuzi ilipotoka habari hiii hawa vijana wamekwisha patikana tayari wakiwa wazima na salama. Maoni hayo hapo 'sosi' ikiwa blogi ya ankal Michuzi.
January 26, 2017
Ok said...![]()
Kwa taarifa za awali hawa wanaotafutwa walikabidhiwa social care walipo kua bado ni watoto.hawakuelewana kimalezi na huyo aliye wachukua. Ndugu yangu fahmi kama upo karibu na mji wa leicester jaribu kuulizia social care ya hapo pengine utapata mwangaza wapo wapi kwa sasa .itabidi ujieleze vizuri si unajua mambo ya europe hiyo ni private issue
All the best
January 27, 2017
Grace said...![]()
JAMANI MIMI NI GRACE NAISHI HOLLAND. ASANTENI SANA WATOTO WAMEPATIKANA.
January 27, 2017
Grace said...![]()
JAMANI MIMI NI GRACE NAISHI HOLLAND. ASANTENI SANA WATOTO WAMEPATIKANA.
January 27, 2017
Grace said...![]()
JAMANI MIMI NI GRACE NAISHI HOLLAND. ASANTENI SANA WATOTO WAMEPATIKANA.
January 27, 2017
Abu Fahmi said...![]()
Ndugu Hijambi na wadau wengine habari nilizopata mpk sasa watoto wamepatikana wakiwa wazima na afya njema.
Tumshukuru Mungu mkarimu kwa kuliwezesha hili Zoezi.
Alhamdulillah Rabb l aalamiin.
Mbarikiwe sana wote mlioshiriki ktk Zoezi hili.
Na km kuna Mzazi au wazazi wengine out there waliopoteza watoto wao walete habari zao hapa tuone namna gani tunaweza kusaidiana. Wasikate tamaa hata kidogo.
Ukimtegemea Mungu Hakuna kinachoshindikana.
Ndugu yenu Abu Fahmi.
United Kingdom.
Asante kwa kutuelewesha na kuwaelewesha wakosoaji muda wote mpaka wengine tunaogopa kuanzisha Uzi sababu ya uoga wa kukosolewaWengine Kiswahili ni Lugha ya pili baada ya lugha zetu Mama.
Hii ni lugha tuliyojifunzia shuleni na tuliporudi nyumbani tuliendelea na lugha Mama.
Moja ya athari ya lugha ya pili,ni kuchanganya na lugha mama katika maandishi na matamshi.
Wataalamu wote wa lugha hujua jinsi ilivyo rahisi kwa mtu aliyeathirika na lugha Mama kuchanganya herufi na matamshi na lugha ya kujifunza,ndio maana hata kesho ukimwambia Magufuli aseme "Ng'ombe" atasema "Ngombe",Lugha Mama yake haina Ng'
Ukienda Nyanda za juu kusini hawana "Nt" bali "nd"...ndio maana hutamka "Intelligend" badala ya "intelligent"
Unaweza kukosoa/kusahihisha bila kuhusisha na shule,maana sio wote walioenda shule kusomea lugha tu.
MSAADA TUTANI: OMBI LA KUWASILIANA NA WATOTO WALIOPO UINGEREZA KWA ZAIDI YA MIAKA 22 SASA.
![]()
Picha za awali za wahusika wa waraka huu ikiwa ni pamoja na watoto Amina na Seleman Kichawela na Bw. Mahmud Hassan Mihile aliyewachukua miaka 22 iliyopita ili kuwasaidia masomo huko Uingereza.
Kutokana na kichwa cha habari hapo juu mimi AZAMA ABBASI KICHAWELE ambae kwa sasa ni mjane, mwenye namba ya simu +255 784 697319 na mkazi wa Majengo Arusha, Tanzania, na ambae ni mama wa nyumbani, nachukua nafasi hii kukutaarifu kama ifuatavyo.
Mume wangu kwa majina ABBASI ALLY KICHAWELE ambaye kwa sasa ni marehemu alikua na rafiki wake wa karibu kwa majina MAHMUD HASSAN MIHILE aliekuwa akitumia namba ya simu +441332270462 wakati huo mwenye asili ya Kisomali na uraia wa Uingereza na Tanzania walikubaliana awachukue watoto wetu ambao ni: SELEMAN ABBASI KICHAWELE aliekuwa na umri wa miaka kumi na AMINA JABIRI KICHAWELE aliekuwa na umri wa miaka saba aende nao Uingereza kwa ajili ya kuwasomesha.
Siku ya kuondoka watoto hawa ilikuwa ni mwaka 1994 na waliondoka na mke wa huyo Msomali kwa majina RAHMA MIHILE. Mji wa kwanza walioshukia huko UINGEREZA unaitwa LEICESTER. Baada ya hapo mawasiliano yaliendelea kuwepo kati ya mzazi wa kiume wa watoto na Msomali.
NB: Katika hawa watoto huyu wa kike, Amina Jabiri alikuwa ni wa mdogo wake mume wangu yaani shemeji yangu.
Kwa bahati mbaya mume wangu, aliugua maradhi ya cancer na ilipofika mwaka 1998, nikampoteza (alitangulia mbele ya haki).
Baada ya kifo cha mume wangu hakukua na mawasiliano yoyote kati yangu na huyu bwana aliyechukua watoto wangu. Alikata mawasiliano kabisa na wala hakutaka watoto wajue kuwa baba yao hayupo tena Duniani.
Kwa bahati mbaya sikua na mtu mwingine mbadala wa kuweza kuniunganisha na huyu bwana ikizingatiwa pia mimi ni mama wa nyumbani sikuwa na PR kubwa. Leo hii ninapoandika barua hii, huu ni mwaka wa ishirini na mbili (22) toka nitengane na watoto wangu. Sisi pamoja na wanafamilia tutaendelea kutoa shukrani zetu kwa serikali ya Uingereza iwapo watoto hawa wapo salama na kwenye ajira zao. Kwetu hilo sio tatizo.
Jambo kubwa linaloniumiza ni kutokua na MAWASILIANO na watoto wangu kwa miaka ishirini na mbili sasa. Wakati mwingine najenga wasiwasi kwamba je, wako hai? Na hali hii nitaendelea nayo mpaka lini?
Huyu bwana Mahamudu (msomali) nini kimemsukuma kuwa na ujasiri wa kuwaficha watoto wangu hata nisiwe na mawasiliano nao? Ana dhamira gain?
Kutokana na maelezo mafupi hapo juu nimefikia hatua ya kuiomba ofisi yako tukufu kunisaidia kupata namna ya kuwasiliana na watoto wangu wapendwa huko waliko. Jambo hili likifanikiwa litaleta faraja sana kwangu na kwa wana familia kwa ujumla.
Pia itakuwa ni fursa kwa watoto kutambua kuwa baba yao mpendwa alishafariki lakini mimi mama yao bado nipo hai, taarifa ambazo tuna hakika hawajazipata. Naambatanisha picha za watoto ambazo walipigwa wakati wanakaribia kuondoka mwaka 1994.
Pia naambatinisha na picha ya Mahmud Hassan Mihile (Msomali) ya wakati huo aliyewachukua watoto kwa makubaliano na mume wangu.
NB: Kwa mawasiliano tumia namba hizi za barua pepe
hasatathuman@gmail.com
Au Athuman Rashid Mfinanga
Box 2614, - Arusha Tanzania
Ph: 0754375602/0784375602
Wako,
Katika ujenzi wa Taifa
Azama Abbasi Kichawele
Chanzo: Michuzi blog
============================
======================================
UPDATES kuhusu kupatikana kwa watoto