Mliokuwa mnafurahia wabunge wa Chama kimoja, Chadema ife, upinzani ufe ibaki CCM tu nadhani Sasa akili zimerudi

Ati wapinzani wanatuchelewesha. Haya sasa.
 
Bunge la Tanzania 2021-2025 ni utopolo mtupu.

Bunge halina hoja Wala mvuto ni sawa na pombe ya kienyeji iliyolala.
 
kwani zanzibar iko ukraine mbona bei zao za kawaidi,mnaongea kama mmewekewa bro-work kinywani
 
Kikao Cha ccm sio bunge
 
Uwongozi wenyewe wameupata hauna baraka za wananchi kwahiyo utendaji wao lazima uwe mbovu tuu pengine ukute ni laana inatutesa

Haiwezakani mtu muda wote hadi anamaliza uwongozi wake nikujiteteaga tuu na kubembeleza wananchi wamwelewe wakati haeleweki
 
Muovu alikuwa anatamka maneno mabaya muda wote
 
Hatari sana..., hii kauli ilifungulia njia ya kupambana na upinzani kwa gharama yoyote.

Kilichofuata ilikuwa maumivu makubwa kwa wana wa nchi, huku kosa lao kubwa likiwa kuwa na mawazo mbadala.

Mungu ni mwema
 
Bado nafuuu sana hata nauli 400 ? Ikifika nauli elf 10 kwa kituo na lita elf 20 ndo wataisoma number
 
Namchukia sana baba Riz 1 ndo chanzo cha yote
 
Bunge la Tanzania 2021-2025 ni utopolo mtupu.

Bunge halina hoja Wala mvuto ni sawa na pombe ya kienyeji iliyolala.

Ahaaa ahaaa, ni kama uji usio na sukari kisha umepoa.
 
CCM ndiyo chanzo cha yote haya.Sijuwi kwanini hawawataki watu wenye akili nchini kufanya nao kazi. Anglia chadema kama wangeliacha tungesalomika zaidi kipindi hiki kigumu mno
 
CDM bado ni wapumbavu kama CCM ya huyu Mama.
 
Shujaa alituvuruga mnoo
 
Bado, wanapiga mahesabu kwanza mshahara upande kwa kiasi gani hiyo Julai.
Na bado!

Tuliwaonya kwamba mwamba ameshaelekea kibra toka siku ile ameenda kwa hangaya
 
Sasa wote tunaona Bei ya mafuta ikiwa 3200+
Na tunaambiwa BADO ITAPANDA HUO NI MWANZO TU!

kama Tungekuwa na upinzani imara Leo hii utopolo huu usingekuwepo!
Wangekuwa wapo watu wa kuwasemea Wananchi...
Lakini Sasa Kila mmoja anaunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…