Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

Erick2025

Member
Joined
Dec 15, 2025
Posts
24
Reaction score
68
Wakuu habariii,
Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa naomba msaada kwa wamliokuwa nje ya dar naombeni mnisaidie kuniunganisha na ma binti wale waliokuwa wanafaa kuwa mke wale waliotoka katika familia zenye maadili na weledi,

kwanza napenda msichana mzuri, sitaki nioe alafu nimwache mke ndani nitafute hawara ambaye atanivutia na kunifurahisha,!!

au labda una rafiki au ndugu popote ama ni wewe mwenyewe unahisi una hizi sifa naomba msaada saana.

naishi dar es salaam nina miaka 36, nafanya kazi na biashara kuhusu kukuhudumia kama mke na familia hii ipo ndani ya uwezo wangu 70%.

karibuni sana PM ndugu zangu, Mungu awabariki.
 
Mungu akupe hitaji lako,ata mimi nipo hiyo stage ni kazi sana kumpata mwanamke wa hivyo hapa dar
Dar wakiwa kwenye prime age wanataka uhuru bila kuwajibika kwa yoyote. Bahati mbaya sana kwa mwanamke freedom without supervision ni license of self distraction. Wakishakua damaged ndio wanasema wanataka mtu wa ku-settle nae, bahati mbaya hicho kipindi mioyo yao tayari inakua na mizigo ambayo hauwezi kuibeba
 
Wakuu habariii,
Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa naomba msaada kwa wamliokuwa nje ya dar naombeni mnisaidie kuniunganisha na ma binti wale waliokuwa wanafaa kuwa mke wale waliotoka katika familia zenye maadili na weledi,

kwanza napenda msichana mzuri, sitaki nioe alafu nimwache mke ndani nitafute hawara ambaye atanivutia na kunifurahisha,!!

au labda una rafiki au ndugu popote ama ni wewe mwenyewe unahisi una hizi sifa naomba msaada saana.

naishi dar es salaam nina miaka 36, nafanya kazi na biashara kuhusu kukuhudumia kama mke na familia hii ipo ndani ya uwezo wangu 70%.

karibuni sana PM ndugu zangu, Mungu awabariki.
miaka 36 bado hujaoa tu...umeshindwa kumchukua hata gigy money
 
Kimila ng'ombe mmoja ni laki 2 maximum.

Hivyo ng'ombe 15 ni 3M tu.

Na mahari huwa haimalizwi, unatoa zako 1.5M unajibebea mke huyooo.

Simple math labisa hii.
Umeshiriki zoezi la mahari lini huku usukumani????
Hiyo ilikuwa zamani sasa hivi ng'ombe hathaminishwi kwa laki moja au mbili na hii ni uhakika.
Mdogo wangu katolewa ng'ombe 12 kwa laki 5 kila moja
 
Back
Top Bottom