Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

Juzi nilisoma mada moja inauliza mwanamke kakufanyia lipi la maana kwenye mahusiano yako. Asilimia 95 ya majibu kutola kwa men yalionyesha kwamba mwanamke si chochote bali ni mzoga tu.
Hawa viumbe bana.
 
Ndio maana akasema Dar haoni mwanamke sababu anaona waliopo Dar hawana lolote la maana la kufanya zaidi ya kudanga tu..
 
Kwamba wanawake wa dar ni tofauti na wanawake wa mikoa mingine ?
Nilienda kuna kijiji kimoja ndani ndani huko nikakuta kuna wanawake wazuri kweli mate yakaanza kunitoka.. nikaambiwa kua makini kijana hao wanawake ni wachawi sio kawaida jichanganye yakukute nikanywea haraka sana nani anataka kurogwa kizembe?
 
Juzi nilisoma mada moja inauliza mwanamke kakufanyia lipi la maana kwenye mahusiano yako. Asilimia 95 ya majibu kutola kwa men yalionyesha kwamba mwanamke si chochote bali ni mzoga tu.
Hawa viumbe bana.
Fanyeni comeback, shambulieni hiyo thread mseme tangiable value mnachongia kwenye mahusiano.

Semeni mnawalipia bill wanaume wenu, mnawalipia ada za chuo, mnawapa mtaji, mnawatatulia changamoto zao za kimaisha n.k
 
Juzi nilisoma mada moja inauliza mwanamke kakufanyia lipi la maana kwenye mahusiano yako. Asilimia 95 ya majibu kutola kwa men yalionyesha kwamba mwanamke si chochote bali ni mzoga tu.
Hawa viumbe bana.
Hapa issue ni expectation ya mtu na lengo lake la kuoa au kuishi na Mwanamke,

Kuna mdau alianzisha uzi humu,anasema siku moja aliachiwa mtoto mdogo na mkewe akabaki na mtoto,
akasema siku hiyo ndio alijua tabu anayoipata mkewe kwenye malezi ya huyo mtoto mchanga,

Kila jambo lina faida yake na hasara zake,kuita mwanamke ni mzoga tu,sio sahihi kabisa,Bnadamu tunategemeana,Mungu alituumba kwa jinsia tofauti kwa makusudi kabisa.
 
Wakuu habariii,
Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa naomba msaada kwa wamliokuwa nje ya dar naombeni mnisaidie kuniunganisha na ma binti wale waliokuwa wanafaa kuwa mke wale waliotoka katika familia zenye maadili na weledi,

kwanza napenda msichana mzuri, sitaki nioe alafu nimwache mke ndani nitafute hawara ambaye atanivutia na kunifurahisha,!!

au labda una rafiki au ndugu popote ama ni wewe mwenyewe unahisi una hizi sifa naomba msaada saana.

naishi dar es salaam nina miaka 36, nafanya kazi na biashara kuhusu kukuhudumia kama mke na familia hii ipo ndani ya uwezo wangu 70%.

karibuni sana PM ndugu zangu, Mungu awabariki.
Prof. J ft ferooz _ nikusaidiaje?
 
Back
Top Bottom