Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

Hongera,

Imeandikwa

Mithali 19:14


Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi,
Bali mke mwenye busara hutoka kwa BWANA.


Mithali 18:22

Apataye mke amepata kitu chema, Naye ajipatia kibali kwa BWANA


Mwanzo 2:18​

BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

Nilitaka kusema hivi mshikirishe Mungu,
Atakupa mke mwema kwa akili za kibinaadamu haiwezekani kumjua/kumtambua mke mwema

kila la kheri
 
Juzi nilisoma mada moja inauliza mwanamke kakufanyia lipi la maana kwenye mahusiano yako. Asilimia 95 ya majibu kutola kwa men yalionyesha kwamba mwanamke si chochote bali ni mzoga tu.
Hawa viumbe bana.
Tulinangwa hapa ndugu yangu,,,,
Yani umbea, kuzaa na kujig jig zaidi ya hapo hatuna faida sie ni wajinga.
Mara paaah! Muujiza huu hapa kipanga anatafuta mjinga mmoja aweke ndani
 
Nilienda kuna kijiji kimoja ndani ndani huko nikakuta kuna wanawake wazuri kweli mate yakaanza kunitoka.. nikaambiwa kua makini kijana hao wanawake ni wachawi sio kawaida jichanganye yakukute nikanywea haraka sana nani anataka kurogwa kizembe?
Acha uoga kijana, wachawi nao wapelekewe moto..Lete jina la mkoa na kijiji
 
bei kitonga ngo'mbe 1 laki 5, means 15 ni= 15m.

angalieni mkwe wenu asije uza figo ya bibi harusi.
Hii hesabu umeikokotoa vp?

Kama ng'ombe1=sh500000
Ng'ombe15=sh7500000.
Hata hivyo usukumani ng'ombe 1 kwa upande wa mahari huchukuliwa kuwa na thamani ya sh100,000/=
So ng'ombe 15 ni sh1,500,000. Pesa ambayo huko "uziguani ndanindani" unachukua wanawake 10!

Kwahiyo mleta mada wazazi na walezi waishio huko daslam wanafeli malezi kwa watoto wao?!
 
Back
Top Bottom