Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

Huyo unaye mzungumzia hapa ndiyo yule aliye olewa kule kwao na kuishi huko kwao. Ukimleta Dar akajua kuvaa na kuanza kupendeza huku anasumbuliwa na vijana anaanza matatizo kwa mumewe. Wakifika huku na kujua kuna haki sawa basi anaacha unyenyekevu na kusikilizana.
Kule kwenu hawezi kuleta hizo mambo anajua ataadhibiwa na wananzengo.

Kuhusu kufanyiwa ukatili Kanda ya ziwa upo sahihi. Huko karibu kabila zote utamaduni wa kawaida kwao. Mwanamke anafanyishwa sana kazi kama mtumwa au ng'ombe maksai.
Mijamaa ya huko inamchukulia mwanamke kama kifaa au kitu unacho kimiliki. Nadhani sababu ya kutozwa mahari kubwa.
Wanapiga wake zao au kuchapa makofi, ngumi au fimbo kama mtoto wa shule.
Wanaenda kulima wote, wakirudi mwanamke akatafute maji, kuni na kumpikia mumewe au familia yote. Mtoto anahangaika naye peke yake baba hamsaidii kumshikia mtoto wakati huo, usiku mjamaa anaenda kukandamiza kama kawaida kwenye majukumu ya ndoa.

Wakiachana mara kadhaa unasikia mwanamke hajapewa mgawo wa mali walizochuma na mumewe.
BTW, ukitaka kutoa mwanamke mchapa kazi oa msukuma, mjita, mkerewe, mnyakyusa, mchaga, muha, Mnyiramba, mhehe, mkinga , mbena na kiasi fulani mngoni.
Ndugu zangu wa Pwani kuanzia Tanga, Pwani, Dar hadi Lindi na Mtwara hao ukioa imekula kwako.
Mngoni sio kiasi fulani, ni wachapakazi na wavumilivu haswaaa.
 
Kwamba wanawake wa dar ni tofauti na wanawake wa mikoa mingine ?
Of course jibu ni Yes.

Wanawake wa dar wana tofauti kubwa sana na wanawake wa sehemu zingine nchi hii.

Dar hakuna mwanamke wa kuoa, kuna wanawake wa kunywa nao bia tu na kupiga mashine basi, wanawake wa kuoa wako Mwamang'ua huko na Inguruguru.
 
Hili ni dili kabisa mzee wangu sema hujasema unataka ae na sifa gani za ziada kuna wadada ninao hapa wa mtwara na kigoma wako tayari kwa amtumizi safi ya nyumbani. elimu,dini,rangi etc
 
Katika mambo ambayo siyaamini ni uchawi. Wakati fulani kipindi nafanya kazi benki moja hivi kubwa hapa bongo nilipelekwa kikazi kwenye kijiji kimoja hivi kinaitwa Madaba kipo katikati ya njombe na songea.

Kulikua na story za kushamiri sana uchawi hapo kijijini, watu wanadai mpaka watoto wa shule ya msingi ni wachawi. Siku moja wakati namwagilia moyo pub moja hivi maarufu hapo kijijini inaitwa VIP, nikatoa ofa.

Mtu yoyote ambae ni mchawi ajitokeze hata kwa siri tuwekeane makubaliano ya kuniloga. Tunawekeana dau kabisa akifanikiwa anachukua mzigo, akishindwa mimi nachukua mzigo. Nimekaa pale kijijini miezi mitatu mpaka naondoka hakuna mchawi aliejitokeza kukubali
Aisee kwa akili hizi ndizo zilifanya uajiriwe benki?Tuna safari ndefu mno kama taifa
 
Aisee kwa akili hizi ndizo zilifanya uajiriwe benki?Tuna safari ndefu mno kama taifa
Nje ya majukumu ya kiofisi benki hawafatilii maisha yako binafsi, labda kama unachafua taswira ya taasisi. Hata pale kijijini kwenyewe nilipelekwa kwa kazi ya kufanya research kama kuna mzunguko wa hela ili benki ifungue tawi.

Kwaiyo nilikua mtu wa kuchangamana tu na almost kila kundi la watu, kila kijiwe, kila mjadala unaoshika kasi. Mpaka naondoka pale kijijini hakuna mwanakijiji aliekua anajua nini exactly kilinipeleka pale kijijini
 
A83CAE02-7B17-4F20-822D-7275CCC91C76.jpeg

Easy on stingy guys🤗
 
Attachments

  • 232505B9-AE10-4801-8331-9B3672A6E306.jpeg
    232505B9-AE10-4801-8331-9B3672A6E306.jpeg
    1.1 MB · Views: 26
Nje ya majukumu ya kiofisi benki hawafatilii maisha yako binafsi, labda kama unachafua taswira ya taasisi. Hata pale kijijini kwenyewe nilipelekwa kwa kazi ya kufanya research kama kuna mzunguko wa hela ili benki ifungue tawi.

Kwaiyo nilikua mtu wa kuchangamana tu na almost kila kundi la watu, kila kijiwe, kila mjadala unaoshika kasi. Mpaka naondoka pale kijijini hakuna mwanakijiji aliekua anajua nini exactly kilinipeleka pale kijijini
Bado mshangao wangu ni uleule ikiwa kweli kabisa umeajiriwa na benk huku una akili fupi kiasi hicho
 
Bado mshangao wangu ni uleule ikiwa kweli kabisa umeajiriwa na benk huku una akili fupi kiasi hicho
Nilishaacha kazi benki na pia nilifanya kazi USAIDS kama financial supervisor pia nikaacha. Sasa hivi nina kampuni ya auditing na nimeajiri vijana kadhaa. Wewe endelea kushangaa mpaka siku utakayokuja kushtuka nimemfiler mama ako.
 
Bado unaendelea kunishangaza tu kwakweli kwamba iweje mtu mwenye akili kisoda afanye kazi USAID'S
 
Back
Top Bottom