Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Tatizo tukiwapa koneksheni mnawaumiza alafu mnasepa
mimi nataka mke kabisaaTatizo tukiwapa koneksheni mnawaumiza alafu mnasepa
Bridge Bright Boqin 255Fixer hebu fanyenyi Kazi yenu mbona watu wanatukana sana mnaiharibu jamii forums mi sasa nimekua kama JF PoliceNilishaacha kazi benki na pia nilifanya kazi USAIDS kama financial supervisor pia nikaacha. Sasa hivi nina kampuni ya auditing na nimeajiri vijana kadhaa. Wewe endelea kushangaa mpaka siku utakayokuja kushtuka nimemfiler mama ako.
Alafu ukute usedUmeshiriki zoezi la mahari lini huku usukumani????
Hiyo ilikuwa zamani sasa hivi ng'ombe hathaminishwi kwa laki moja au mbili na hii ni uhakika.
Mdogo wangu katolewa ng'ombe 12 kwa laki 5 kila moja
Mbona wapo wengi sanamimi nataka mke kabisaa
Ukikuta used sie hayatuhusuAlafu ukute used
Hayupo mwanamke wa hivyo. Suluhisho ni wewe kutokuoakwanza napenda msichana mzuri, sitaki nioe alafu nimwache mke ndani nitafute hawara ambaye atanivutia na kunifurahisha,!!
sijakutana nao, ndiyo maana naomba msaada wa conectionMbona wapo wengi sana
good advise!Miaka michache baadae ni mpango wangu pia kutafuta mke kijijini.
Pia unaweza kuweka order kwa walimu wa vijijini wadada wa form four wale ambao hata wakimaliza wanarudi mtaani, akuangalizie mmoja bikra, Safi, utapata wengi sana.
Kila la kheri
Pita ferry wiki tu ukikosa wa kuoa basi ujue wewe ndio una shidasijakutana nao, ndiyo maana naomba msaada wa conection
Hao wa kanisani ndio wa kuwa nao makini, kama yupo 25+ ni wa kuavhana nae. Hao wengi wao wanaji-brand baada ya kutumia prime yao vibayaNenda kwenye matamasha ya kanisani wapo
Ng'ombe wa mahari hathaminishwi kwa laki moja ni laki 2Hii hesabu umeikokotoa vp?
Kama ng'ombe1=sh500000
Ng'ombe15=sh7500000.
Hata hivyo usukumani ng'ombe 1 kwa upande wa mahari huchukuliwa kuwa na thamani ya sh100,000/=
So ng'ombe 15 ni sh1,500,000. Pesa ambayo huko "uziguani ndanindani" unachukua wanawake 10!
Kwahiyo mleta mada wazazi na walezi waishio huko daslam wanafeli malezi kwa watoto wao?!