Kwanini umemtambulisha kwa rangi yake, Jeupe?Kuna toto jeupe la kisukuma hapa hamna hamna ng'ombe 15 unazo??? Nikuunge fasta
Dar wakiwa kwenye prime age wanataka uhuru bila kuwajibika kwa yoyote. Bahati mbaya sana kwa mwanamke freedom without supervision ni license of self distraction. Wakishakua damaged ndio wanasema wanataka mtu wa ku-settle nae, bahati mbaya hicho kipindi mioyo yao tayari inakua na mizigo ambayo hauwezi kuibebaMungu akupe hitaji lako,ata mimi nipo hiyo stage ni kazi sana kumpata mwanamke wa hivyo hapa dar
Namuomba mimi hata kesho anachukuwa ng'ombe.Kuna toto jeupe la kisukuma hapa hamna hamna ng'ombe 15 unazo??? Nikuunge fasta
bei kitonga ngo'mbe 1 laki 5, means 15 ni= 15m.Kuna toto jeupe la kisukuma hapa hamna hamna ng'ombe 15 unazo??? Nikuunge fasta
Me msukuma na mtoa mada kataka toto zuri, huku kwetu weupe ndo wazuriKwanini umemtambulisha kwa rangi yake, Jeupe?
miaka 36 bado hujaoa tu...umeshindwa kumchukua hata gigy moneyWakuu habariii,
Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa naomba msaada kwa wamliokuwa nje ya dar naombeni mnisaidie kuniunganisha na ma binti wale waliokuwa wanafaa kuwa mke wale waliotoka katika familia zenye maadili na weledi,
kwanza napenda msichana mzuri, sitaki nioe alafu nimwache mke ndani nitafute hawara ambaye atanivutia na kunifurahisha,!!
au labda una rafiki au ndugu popote ama ni wewe mwenyewe unahisi una hizi sifa naomba msaada saana.
naishi dar es salaam nina miaka 36, nafanya kazi na biashara kuhusu kukuhudumia kama mke na familia hii ipo ndani ya uwezo wangu 70%.
karibuni sana PM ndugu zangu, Mungu awabariki.
Kimila ng'ombe mmoja ni laki 2 maximum.bei kitonga ngo'mbe 1 laki 5, means 15 ni= 15m.
angalieni mkwe wenu asije uza figo ya bibi harusi.
Taja sifa zako hapaNamuomba mimi hata kesho anachukuwa ng'ombe.
Kataka kizuri mwache agharamikebei kitonga ngo'mbe 1 laki 5, means 15 ni= 15m.
angalieni mkwe wenu asije uza figo ya bibi harusi.
Mungu nifundishe kunyamazaKataka kizuri mwache agharamike
ila wasukuma ni mali safi..tulioa wasukuma tunajua vizuri sana hiliMe msukuma na mtoa mada kataka toto zuri, huku kwetu weupe ndo wazuri
Umeshiriki zoezi la mahari lini huku usukumani????Kimila ng'ombe mmoja ni laki 2 maximum.
Hivyo ng'ombe 15 ni 3M tu.
Na mahari huwa haimalizwi, unatoa zako 1.5M unajibebea mke huyooo.
Simple math labisa hii.
Hongera kwa kufanya chaguo sahihi.ila wasukuma ni mali safi..tulioa wasukuma tunajua vizuri sana hili