The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
leo dada nitafutie basi na Mimi kamoja huko ili nile mema ya nchi.Umeshiriki zoezi la mahari lini huku usukumani????
Hiyo ilikuwa zamani sasa hivi ng'ombe hathaminishwi kwa laki moja au mbili na hii ni uhakika.
Mdogo wangu katolewa ng'ombe 12 kwa laki 5 kila moja
Wamekua wa ajabu sanaau wanawake naokutana nao
Akakutane na visamaki vya kutoshaNenda kitambaa cheupe wapo wengi
Ndio maana akasema Dar haoni mwanamke sababu anaona waliopo Dar hawana lolote la maana la kufanya zaidi ya kudanga tu..Juzi nilisoma mada moja inauliza mwanamke kakufanyia lipi la maana kwenye mahusiano yako. Asilimia 95 ya majibu kutola kwa men yalionyesha kwamba mwanamke si chochote bali ni mzoga tu.
Hawa viumbe bana.
Kwamba wanawake wa dar ni tofauti na wanawake wa mikoa mingine ?Ndio maana akasema Dar haoni mwanamke sababu anaona waliopo Dar hawana lolote la maana la kufanya zaidi ya kudanga tu..
Dar hakuna mke wa pekee ako yaani unakuta hio ya mkeo inapigwa na bodaboda, muuza chips, muuza samaria wa pemba ni nouma aseee full kuambukizana tu magonoNdio maana akasema Dar haoni mwanamke sababu anaona waliopo Dar hawana lolote la maana la kufanya zaidi ya kudanga tu..
Nilienda kuna kijiji kimoja ndani ndani huko nikakuta kuna wanawake wazuri kweli mate yakaanza kunitoka.. nikaambiwa kua makini kijana hao wanawake ni wachawi sio kawaida jichanganye yakukute nikanywea haraka sana nani anataka kurogwa kizembe?Kwamba wanawake wa dar ni tofauti na wanawake wa mikoa mingine ?
Fanyeni comeback, shambulieni hiyo thread mseme tangiable value mnachongia kwenye mahusiano.Juzi nilisoma mada moja inauliza mwanamke kakufanyia lipi la maana kwenye mahusiano yako. Asilimia 95 ya majibu kutola kwa men yalionyesha kwamba mwanamke si chochote bali ni mzoga tu.
Hawa viumbe bana.
Hapa issue ni expectation ya mtu na lengo lake la kuoa au kuishi na Mwanamke,Juzi nilisoma mada moja inauliza mwanamke kakufanyia lipi la maana kwenye mahusiano yako. Asilimia 95 ya majibu kutola kwa men yalionyesha kwamba mwanamke si chochote bali ni mzoga tu.
Hawa viumbe bana.
Amina, Mungu akubariki pia na weweMungu akupe hitaji lako,ata mimi nipo hiyo stage ni kazi sana kumpata mwanamke wa hivyo hapa dar
Ukiwa serious nitakuwa serious piaKuna toto jeupe la kisukuma hapa hamna hamna ng'ombe 15 unazo??? Nikuunge fasta
kuna sisi tuliokulia mjini, hatujui kuhusu kijijiniOngea na wazee kijijini wakufanyie mpango. Wanawake waliobaki hapa dar ni kwa ajiri ya matumizi ya starehe tu.
mke sio biashara mkuu!!Mabinti wapo, bajeti yako ni bei gani kwanza? nipange mchanganuo nione kama kunakitu nitaambulia isije kuishia yote kwenye mahari.
Prof. J ft ferooz _ nikusaidiaje?Wakuu habariii,
Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa naomba msaada kwa wamliokuwa nje ya dar naombeni mnisaidie kuniunganisha na ma binti wale waliokuwa wanafaa kuwa mke wale waliotoka katika familia zenye maadili na weledi,
kwanza napenda msichana mzuri, sitaki nioe alafu nimwache mke ndani nitafute hawara ambaye atanivutia na kunifurahisha,!!
au labda una rafiki au ndugu popote ama ni wewe mwenyewe unahisi una hizi sifa naomba msaada saana.
naishi dar es salaam nina miaka 36, nafanya kazi na biashara kuhusu kukuhudumia kama mke na familia hii ipo ndani ya uwezo wangu 70%.
karibuni sana PM ndugu zangu, Mungu awabariki.
Sasa unadai mke sio biashara halafu tena unaanza kunishawishi, mwenye shida ni wewe siyo mimi ongea vizuri na watu kijana.mke sio biashara mkuu!!
ila kama unahitaji nikupooze au kukulipa hakuna shida nipo tayari
ahaha, nimeanza kuongea vizuri sasaSasa unadai mke sio biashara halafu tena unaanza kunishawishi, mwenye shida ni wewe siyo mimi ongea vizuri na watu kijana.