Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

Mngoni sio kiasi fulani, ni wachapakazi na wavumilivu haswaaa.
 
Kwamba wanawake wa dar ni tofauti na wanawake wa mikoa mingine ?
Of course jibu ni Yes.

Wanawake wa dar wana tofauti kubwa sana na wanawake wa sehemu zingine nchi hii.

Dar hakuna mwanamke wa kuoa, kuna wanawake wa kunywa nao bia tu na kupiga mashine basi, wanawake wa kuoa wako Mwamang'ua huko na Inguruguru.
 
Hili ni dili kabisa mzee wangu sema hujasema unataka ae na sifa gani za ziada kuna wadada ninao hapa wa mtwara na kigoma wako tayari kwa amtumizi safi ya nyumbani. elimu,dini,rangi etc
 
Aisee kwa akili hizi ndizo zilifanya uajiriwe benki?Tuna safari ndefu mno kama taifa
 
Aisee kwa akili hizi ndizo zilifanya uajiriwe benki?Tuna safari ndefu mno kama taifa
Nje ya majukumu ya kiofisi benki hawafatilii maisha yako binafsi, labda kama unachafua taswira ya taasisi. Hata pale kijijini kwenyewe nilipelekwa kwa kazi ya kufanya research kama kuna mzunguko wa hela ili benki ifungue tawi.

Kwaiyo nilikua mtu wa kuchangamana tu na almost kila kundi la watu, kila kijiwe, kila mjadala unaoshika kasi. Mpaka naondoka pale kijijini hakuna mwanakijiji aliekua anajua nini exactly kilinipeleka pale kijijini
 
Bado mshangao wangu ni uleule ikiwa kweli kabisa umeajiriwa na benk huku una akili fupi kiasi hicho
 
Bado mshangao wangu ni uleule ikiwa kweli kabisa umeajiriwa na benk huku una akili fupi kiasi hicho
Nilishaacha kazi benki na pia nilifanya kazi USAIDS kama financial supervisor pia nikaacha. Sasa hivi nina kampuni ya auditing na nimeajiri vijana kadhaa. Wewe endelea kushangaa mpaka siku utakayokuja kushtuka nimemfiler mama ako.
 
Bado unaendelea kunishangaza tu kwakweli kwamba iweje mtu mwenye akili kisoda afanye kazi USAID'S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ