Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

Nilishaacha kazi benki na pia nilifanya kazi USAIDS kama financial supervisor pia nikaacha. Sasa hivi nina kampuni ya auditing na nimeajiri vijana kadhaa. Wewe endelea kushangaa mpaka siku utakayokuja kushtuka nimemfiler mama ako.
Bridge Bright Boqin 255Fixer hebu fanyenyi Kazi yenu mbona watu wanatukana sana mnaiharibu jamii forums mi sasa nimekua kama JF Police
 
Miaka michache baadae ni mpango wangu pia kutafuta mke kijijini.
Pia unaweza kuweka order kwa walimu wa vijijini wadada wa form four wale ambao hata wakimaliza wanarudi mtaani, akuangalizie mmoja bikra, Safi, utapata wengi sana.
Kila la kheri
 
Ng'ombe wa mahari hathaminishwi kwa laki moja ni laki 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…