Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
- Thread starter
- #21
[emoji848]Mkipendwa mnaleta pozi umbwaaa nyie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848]Mkipendwa mnaleta pozi umbwaaa nyie!
Hivi kuna mvumilivu hii dunia kama mwanamke!!Shida yenu mko self centered sana.
Sisi mnasema tuvumilie, lakn yale ya kwetu mnaleta visingizio kibao kwenye kuyavumilia
Kwamba kum beep mtu kila muda ndio kumpenda?😀😀😀😀Mkipendwa mnaleta pozi umbwaaa nyie!
🤣🤣🤣🤣🤣 unaona??? Mapema sana mshaanza kutuona kua sisi hatuwavumilii but ni nyie tu ndo wavumilivu!Hivi kuna mvumilivu hii dunia kama mwanamke!!
[emoji23]alielewa chakarii!Unaambiwa akili za wanawake 100 ni sawa na ya mwanaume mmoja aliyelewa chakari. Kwahiyo zoea hiyo hali ndo anatimiza wajibu wake kama mwanamke.
Mnameza moyoni, mnatemea jf huh!!!🤣🤣🤣🤣🤣 unaona??? Mapema sana mshaanza kutuona kua sisi hatuwavumilii but ni nyie tu ndo wavumilivu!
Sisi tunavumulilia mengi lakn difference n kwamba sisi tunameza moyoni
Basi nawe hiyo comment inakuhusu.Kwamba kum beep mtu kila muda ndio kumpenda?😀😀😀😀
Yani Mimi binafsi ukinibeep sikupigii
Kwa kias chake n kweli.Mnameza moyoni, mnatemea jf huh!!!
Mahusiano ujengwa na mawasiliano.Kwamba kum beep mtu kila muda ndio kumpenda?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yani Mimi binafsi ukinibeep sikupigii
jf uzuri hatujuani!Mnameza moyoni, mnatemea jf huh!!!
Ukiniacha si naoa? Na watoto wangu nachukua? Mnasumbua wanaume wajinga tu!!Basi nawe hiyo comment inakuhusu.
Ndio mlalamikie kupendwa!!!Kwa kias chake n kweli.
The whime point ya annonymity humu jf inawapa watu wengi uhuru wa kuelezea matatizo yao.
And also, kwa kias kikubwa members wengu ni wanaume, wanawake wachache wajanja ndo wanatumia jf. Wengineo wako huko tikitaka wanabenjua viuno.
Kwa mfank tungekua na ma therapist wengi kama nchi za wenzetu ingekua rahisi kwa wanaume kupata sehem ya ku vent matatizo yao.
But our culture imetengeneza an impression kua venting is a sign of weakness, thats why most men die of depression.
Hongereni wenye wachuchu mie nko likizo😂Zubaa mkuu utaleta sireeediìi mwakani
Sio kila muda Sasa mkiwasiliana asubuhi na jion inatosha lbd Kama Kuna emergencyMahusiano ujengwa na mawasiliano.
Haya.Ukiniacha si naoa? Na watoto wangu nachukua? Mnasumbua wanaume wajinga tu!!
Pesa zinisumbue na wanawake wanisumbue never!!!
Daah namiss kubebishana aseeYes kama inawezekana ongea naye jamani, ujue kakumiss hivo, kwani utakatika nanii ukiongea naye kila saa?😀