Bangida
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 2,406
- 11,258
Technically ni haki yetu kulalamika coz kwa kiasi kikubwa wanaume wengi wa kiafrika perception yetu kuhusu upendo ni tofauti na reality ya upendo wenyewe.Ndio mlalamikie kupendwa!!!
Wachana na hawa Gen Z, ukiangalia millenials na baby boomers wa kitanzania, hatukuwahi kufundishwa kuhusu upendo. Tulichoona ni mshua yuko arrogant na maza ni submissive na mambo yanaenda. Hakukua na freedom ya kuongelea mambo kama haya.
Sasa growing up, ni wachache wanaeza ku perceive mwanamke kukucheck mara kwa mara kama upendo, moatly tunaona ni nagging tu na jam ya wanawake.
Most people dont know chochote either kuhusu wanwake au wanaume. Tunaendeshwa na mitizamo yetu ya zamani.