Mliooa, hii hali mnaichukuliaje kwa Wanawake?

Upweke unamtesa mkeo, sasa wewe endelea kumuona msumbufu halafu apate jamaa atakaeweza kumuondolea huo upweke wake, hapo ndipo ukakapojua kua hujui.
 
Habari za wakati huu,

nipo safarini kwa muda mrefu kidogo, niko mbali na wife.

huyu mke wangu naona sasa anataka kunikera[emoji16]
yaani kila muda sms-simu, sms-simu dah

nampigia tunaongea saana, tunapiga stori sana, lakini kila baada ya muda kidogo huyoo kabeep! Nikipiga hana jipya lolote anaanza kujing'atang'ata tu!

siku moja nilimpa makavu[emoji4][emoji4]
akatulia kidogo ila alinitumia meseji ya kulaumu ananituhumu kwamba labda niko na mwingine anaetumia nafasi yake, bla bla nyingi! mpaka nikamwonea huruma ikabdi nibembeleze mmhh!
huyu sio kwamba ndoa ndoa ni changa, niko nae kitambo tu lakini hili kuna wakati linanikera!

hiki ni nini[emoji848]
Atakuwa mjamzito huyo , mpende na usimpe stress ili kuepuka kumwathiri mtoto au watoto tumboni
 
Habari za wakati huu,

nipo safarini kwa muda mrefu kidogo, niko mbali na wife.

huyu mke wangu naona sasa anataka kunikera[emoji16]
yaani kila muda sms-simu, sms-simu dah

nampigia tunaongea saana, tunapiga stori sana, lakini kila baada ya muda kidogo huyoo kabeep! Nikipiga hana jipya lolote anaanza kujing'atang'ata tu!

siku moja nilimpa makavu[emoji4][emoji4]
akatulia kidogo ila alinitumia meseji ya kulaumu ananituhumu kwamba labda niko na mwingine anaetumia nafasi yake, bla bla nyingi! mpaka nikamwonea huruma ikabdi nibembeleze mmhh!
huyu sio kwamba ndoa ndoa ni changa, niko nae kitambo tu lakini hili kuna wakati linanikera!

hiki ni nini[emoji848]
Ana kupenda na ananyege
 
Ipo siku ataacha hizo kero. Na utajuta...we subiri
 
Mkuu ndoa ni kautumwa flan cha kiaina kama utakuwa si mtu wa kutumia akili.
Mke anataka muda wako so jitoe kwaajili yake. Mpe muda wako kadri uwezavyo.

Pia ajue ratba zako ili asiwe anasumbua. Pia mpe kazi zimbane nakuahid hatopiga mpaka we ndo utarud tena hapa kulaumu
 
Mi huwa sipendi simu za mara kwa mara na sms.
Nitafute ukitaka nambia kitu cha maana na muhimu tu, vinginevyo kaa kimya hata mwaka
 
nampigia tunaongea saana, tunapiga stori sana, lakini kila baada ya muda kidogo huyoo kabeep! Nikipiga hana jipya lolote anaanza kujing'atang'ata tu!
Ana kiwango gani cha elimu?
Ana umri gani?
Umezaa naye watoto wangapi?
Anatokea kanda gani hapa nchini?
Ana majukumu gani huko nyumbani ...biashara, au ni house wife?
 
Umesema vyema. Mtu akikujali kama hana mambo meng atataka muda wake wote awe nawe ama aongee nawe.
Na siku atagundua kuwa anakukera. Ataacha kabisa kukujali atawekeza kweye jambo lingine au kwa mtu mwingine.
 
Habari za wakati huu,

nipo safarini kwa muda mrefu kidogo, niko mbali na wife.

huyu mke wangu naona sasa anataka kunikera[emoji16]
yaani kila muda sms-simu, sms-simu dah

nampigia tunaongea saana, tunapiga stori sana, lakini kila baada ya muda kidogo huyoo kabeep! Nikipiga hana jipya lolote anaanza kujing'atang'ata tu!

siku moja nilimpa makavu[emoji4][emoji4]
akatulia kidogo ila alinitumia meseji ya kulaumu ananituhumu kwamba labda niko na mwingine anaetumia nafasi yake, bla bla nyingi! mpaka nikamwonea huruma ikabdi nibembeleze mmhh!
huyu sio kwamba ndoa ndoa ni changa, niko nae kitambo tu lakini hili kuna wakati linanikera!

hiki ni nini[emoji848]
Sorry kusema hivi but , mkeo atakuwa yupo idle , majukumu hayajambana.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Na siku atagundua kuwa anakukera. Ataacha kabisa kukujali atawekeza kweye jambo lingine au kwa mtu mwingine.
Kweli. Nitajitahidi asijue kama anakera[emoji41]
 
Wapo wanawake wa hivyo na tatizo hapo ni kukosekana kwa ufahamu juu ya mahusiano ya kimapenzi.

Wanawake wengi hususa huku nchi zinazoendelea.

Hawajui kuwa psychology ya Mwanaume anatakiwa kupewa nafasi ya kufanya mambo yake mengine.
 
Mwanaume anahitaji ku-vent ,

Hii wanawake ambao wako kwenye mahusiano wanapaswa kujifunza na kufahamu kwa kina.

Mwanaume anachoshwa sana na excessive communication na kubanwabanwa.
 
Back
Top Bottom