ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Hili nalo tutalitizama!Mkipendwa mnaleta pozi umbwaaa nyie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo tutalitizama!Mkipendwa mnaleta pozi umbwaaa nyie!
Huyu ni ndugu yake na SukunukuHabari za wakati huu,
Nipo safarini kwa muda mrefu kidogo, niko mbali na wife.
Huyu mke wangu naona sasa anataka kunikera[emoji16], yaani kila muda sms-simu, sms-simu dah
Nampigia tunaongea saana, tunapiga stori sana, lakini kila baada ya muda kidogo huyoo kabeep! Nikipiga hana jipya lolote anaanza kujing'atang'ata tu!
Siku moja nilimpa makavu[emoji4][emoji4] akatulia kidogo ila alinitumia meseji ya kulaumu ananituhumu kwamba labda niko na mwingine anaetumia nafasi yake, bla bla nyingi! mpaka nikamwonea huruma ikabdi nibembeleze mmhh!
Huyu sio kwamba ndoa ndoa ni changa, niko nae kitambo tu lakini hili kuna wakati linanikera!
Hiki ni nini[emoji848]
Hakika wewe una AkilinjemaMwanaume anahitaji ku-vent ,
Hii wanawake ambao wako kwenye mahusiano wanapaswa kujifunza na kufahamu kwa kina.
Mwanaume anachoshwa sana na excessive communication na kubanwabanwa.
Hakika wewe una Akilinjema
HakikaIpo siku ataacha hizo kero. Na utajuta...we subiri
Mmoja akisafiri, muhimu ni kujualiana hali asubuhi, kuongea ya muhimu kama mume na mke ile asubuhi..baada ya hapo kila mtu akahangaike huko, jioni baada ya mihangaiko ndio mnatafutana tena kujuliana hali na kuelezana ya muhimu kama mume na mke.Anything in too much is boring.
[emoji3][emoji3]Mmoja akisafiri, muhimu ni kujualiana hali asubuhi, kuongea ya muhimu kama mume na mke ile asubuhi..baada ya hapo kila mtu akahangaike huko, jioni baada ya mihangaiko ndio mnatafutana tena kujuliana hali na kuelezana ya muhimu kama mume na mke.
Kinachofuata ni kuambiana usiku mwema, hakuna hata kubebishana, hivi nimeishi na mke miaka kumi nabebishana nae nini kwenye simu!
Mkuu mbona umecheka?[emoji3][emoji3]
[emoji122][emoji122][emoji122]
Nimecheka uliposema kwamba "mwanamke uko nae miaka 10, mnabebishana nini kwenye simu!"[emoji848]Mkuu mbona umecheka?
Ngoja huyu mbwiga atalia bila kupigwa! Akikapata la masalamado kakawa kanampagawisha na ma sms usije kutulilia hapa!Unataka achepuke?
mkeo anahisi upweke bila uwepo wako.
Ulinzi pekee ni kuhakikisha uwapo mbali unaimarisha upendo na mwenzio.
Unamkemea?
Akipata mtu wa kumtumia sms za mapenzi na kumbebisha kwa simu ujue atachepuka.
Ndivyo walivyo ukiwa mbali nao