Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haonewi huruma wala hakemewi, bali.....?*Mwanamke haonewi huruma
*Mwanamke hakemewi
*Mwanamke hapigwi
Ukiona mwanaume huwezi kutimiza haya jua kabisa wewe sio mwanaume ni Mvulana
Anatombwer ..kwa hiyo anazuga..akifanya hivyo chunguza Yuko maeneo yepi... chunguza kimya kimyaHabari za wakati huu,
nipo safarini kwa muda mrefu kidogo, niko mbali na wife.
huyu mke wangu naona sasa anataka kunikera[emoji16]
yaani kila muda sms-simu, sms-simu dah
nampigia tunaongea saana, tunapiga stori sana, lakini kila baada ya muda kidogo huyoo kabeep! Nikipiga hana jipya lolote anaanza kujing'atang'ata tu!
siku moja nilimpa makavu[emoji4][emoji4]
akatulia kidogo ila alinitumia meseji ya kulaumu ananituhumu kwamba labda niko na mwingine anaetumia nafasi yake, bla bla nyingi! mpaka nikamwonea huruma ikabdi nibembeleze mmhh!
huyu sio kwamba ndoa ndoa ni changa, niko nae kitambo tu lakini hili kuna wakati linanikera!
hiki ni nini[emoji848]
hii ni maajabutupe namba yake tukusaidie kumuambia
[emoji120]itabidi umvumilie na kujaribu kumwelewesha kwamba mchana maybe unakuwa bize sana na unachoka,mwambie jinsi unampenda na kummis,
N.B hiyo hali inaweza kumkuta yeyote ila wengine tunamaliza kiutu uzima
NINYI NDIO MNAO TUPA KAZI KUSADIA KUTUNZA WAKE ZENU.Habari za wakati huu,
nipo safarini kwa muda mrefu kidogo, niko mbali na wife.
huyu mke wangu naona sasa anataka kunikera[emoji16]
yaani kila muda sms-simu, sms-simu dah
nampigia tunaongea saana, tunapiga stori sana, lakini kila baada ya muda kidogo huyoo kabeep! Nikipiga hana jipya lolote anaanza kujing'atang'ata tu!
siku moja nilimpa makavu[emoji4][emoji4]
akatulia kidogo ila alinitumia meseji ya kulaumu ananituhumu kwamba labda niko na mwingine anaetumia nafasi yake, bla bla nyingi! mpaka nikamwonea huruma ikabdi nibembeleze mmhh!
huyu sio kwamba ndoa ndoa ni changa, niko nae kitambo tu lakini hili kuna wakati linanikera!
hiki ni nini[emoji848]
[emoji119]NINYI NDIO MNAO TUPA KAZI KUSADIA KUTUNZA WAKE ZENU.
UbahiliNINYI NDIO MNAO TUPA KAZI KUSADIA KUTUNZA WAKE ZENU.
Ubahili kivipi mheshimiwa?Ubahili
Mleta uziUbahili kivipi mheshimiwa?
Hili ndio jibu halisi👆🏾ila alinitumia meseji ya kulaumu ananituhumu kwamba labda niko na mwingine anaetumia nafasi yake,