Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

Kwahiyo tatizo lako ni Mwanamke kununa au kumaliza Gunia la mkaa na mafuta?

Hueleweki tatizo lako kwake ni nini hasa?
 
Yah! Hakika usemalo Mkuu na kwa alivyoelezea yanazungumzika hayo.
 
SEMA MWAMBA UME NIFURAHISHA, ETI MAUNGA NA MAMKAA
 
Kuna jamaa yangu mmoja anaishi na mwanamke pasua kichwa kinoma wakigombana kidogo mwanamke anapigiza vitu anavunja vunja makusudi.

Sasa mwamba siku moja akachoka na yeye akaona bora aharibu kila kitu nikaitwa kumtuliza nikamkuta anahangaika kuangusha kabati nikamzuia.

Jamaa analia anasema nimempa kila kitu , nimemfungulia biashara na kila mwisho wa mwezi namuwekea 300k kwenye account yake ila hata kusimamia biashara kashindwa ,biashara imechanganyia ghafla akaifunga anasema anaenda kwao likizo sahivi imekufa.

Sahivi anarudi kwangu ananivunjia vitu nilivyonunua kwa gharama bila sababu, sasa huyu mwanamke wa kazi gani ? Kazi yake kunirudisha tu nyuma.

Mwamba aliongea mi msuluhishaji mwenyewe nilipata hasira nikataka nimtie makofi mke wake ila nikamtuliza.

Mdau huwa hapati muda wa kuwa nyumbani muda mrefu ila mke wake alivyokua hayupo alijitahidi hivyo hivyo akanunua kuku kama 20 wa kienyeji akawa yupo nao hivyo hivyo na akaweza kuwatunza kwa zaidi ya mwezi.

Siku mke alivyorudi tu kakaa wiki mbili kuku karibu 10 wakapotea anaulizwa wako wapi anasema hajui.

Moyoni nikasema huyu mwamba hapa kapatikana, maana mwanamke alitakiwa awe supportive kwa jamaa ila kwa kushindwa kusimamia hata vitu vidogo ni ngumu sana kupiga hatua kila siku unakua unarudi nyuma
 
Imekaa kikatili sana kiongozi 😹
Watu mnakuwa km wanyama bwana..!!
some style is not recommended
ni kweli aiseee, kumpata wa kufanana nae ni kisanga

mwengine atalalamika wangu anafanya sana, mwengine ety kidogo sana mimi bado nataka 😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…