We huvutiiNdoa sio ya kila mtu oohh..!! πΉπΉ
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??
Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!
Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! ππΌ
πMambo babe π
Matraco yako ndo yanavutia unaweza kunipea? π€‘We huvutii
Kila mmoja apate wa kufanana naye kupunguza taharuki..!! πΉsome style is not recommended
ni kweli aiseee, kumpata wa kufanana nae ni kisanga
mwengine atalalamika wangu anafanya sana, mwengine ety kidogo sana mimi bado nataka π
Nakupenda njoo DM tuyajengeNdoa sio ya kila mtu oohh..!! πΉπΉ
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??
Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!
Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! ππΌ
unampataje..?Kila mmoja apate wa kufanana naye kupunguza taharuki..!! πΉ
Nimeomba nielekezwe hii style ikoje naona kila mtu ananikwepa.. mkuu kama ukipendezwa hata inbox ntashukuru πImekaa kikatili sana kiongozi πΉ
Watu mnakuwa km wanyama bwana..!!
Style ipi? πΉNimeomba nielekezwe hii style ikoje naona kila mtu ananikwepa.. mkuu kama ukipendezwa hata inbox ntashukuru π
Usinicheke mkuu elimu ni bahari haina mwisho..πStyle ipi? πΉ
Hizo style za watu wa hovyo hata usijaribu kuzifahamu kiongozi..!!Usinicheke mkuu elimu ni bahari haina mwisho..π
Ndoa sio ya kila mtu oohh..!! πΉπΉ
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??
Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!
Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! ππππ
Ha ha ha ha ha alimtisha sioUlikosea sana unaazaje maisha na gunia la mkaa
Unadhani hata nataka kujaribu mkuu? Waala.. mi ni kwa ufahamu tu. Mimi style zangu pendwa ni 4 tu na hazijawahi kuniangusha.Hizo style za watu wa hovyo hata usijaribu kuzifahamu kiongozi..!!
Waachie wenyewe MAMBWA
Ndoa sio ya kila mtu oohh..!!