Nilikuwepo mama wa particles za maharageUnabisha ulikuwepooo?
Huyo dogo ni nyumbu tuuUnatafuta ugomvi mkuu ๐
Tatizo limeanzia kwenye unga na vimkaa ulivyonunua....Habari zenu wakuu
Aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana,
Nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji muhimu kama unga gunia 25kg, mkaa gunia, mafuta Yakula 5lt, sukuri, chumvi nk.
Lakini huwezi kuamini vinateketea kama tunaishi watu kumi hasa mkaa na mafuta sio poa. alafu kibaya zaidi kuna baadhi ya tabia nimeanza kuzinot na sijazipenda kwanza ana gubu alafu nikama hayuko comfortable, pia mzigo naupata kwa mbinde na wakati tulivyokua hatuja anza kuishi wote sikuwahi kuviona.
Na pia yeye ndie alikua anashauku ya kuolewa na mimi, kama Leo kaandaa chakula kaacha amekitenga mezani alafu yeye kageukia upande wa pili nikala kidogo nikaamua kukiacha nakuondoka zangu maana niliona kama kasusa, baada ya kuona sirudi akaanza kunitumia message za kuniomba samahani. nime mwambia kumbe anafanya makusudi na kama vipi asepe kwao sitaki stress
Nahisi kukifiwa kabisa na naona kama sitodumu nae
Mliodumu na wanawake wa aina yeyote akiwemo baba mzazi saruti kwenu
HahahhaUlikosea sana unaazaje maisha na gunia la mkaa
Wewe ndoa yako iko wapi hapo?.Habari zenu wakuu

๐๐๐๐๐Ndoa sio ya kila mtu oohh..!! ๐น๐น
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??
Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!
Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! ๐๐ผ
Nitafutie mke atakae vumilia kibamia changu. Mambo mengine mie niko fresh kabisaaa. Hilo tuu ndio pungufu languSi ameomba msamaha huyo anakufaa...
Hakuna aliyekamilika
Ndoa ni uvumilivu
Mweeee muone kana penda kugegedwa na mboo tofauti tofautiNdoa sio ya kila mtu oohh..!! ๐น๐น
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??
Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!
Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! ๐๐ผ
Kumbe kuna kataa ndoa wa kike.Ndoa sio ya kila mtu oohh.
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??
Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!
Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!!
Kwendraa ๐น๐น๐นMweeee muone kana penda kugegedwa na mboo tofauti tofauti
๐น๐น๐น Wengi tumejaa..!!Kumbe kuna kataa ndoa wa kike.
Ushatoka kuzibuliwa basi bichwa lako linawaza utumbo..!!Nilikuwepo mama wa particles za maharage
Kibuyu wee!!Huyo dogo ni nyumbu tuu
Hatawazi huyo ana particles za maharage