Kudai single mother lazima ampe mzazi mwenzie ni fikra za kijinga,hao ambao hawakuzaa hawawapi wapenzi wao wa zamani!?..kwa hiyo unatakiwa kuchunguza ikiwa mzazi mwenzie single mother ana kipato cha kusuasua au las!?.. single mother wanagongwa na wazazi wenza ni wale tu wenye wazazi wenza wenye vipato imara!?..waliobikiri hao wake zenu hawakumbukwi?