Mliooa Single mother na wale wenye mpango huo, hebu msikilizeni huyu mwamba

Mliooa Single mother na wale wenye mpango huo, hebu msikilizeni huyu mwamba

Tutajie aina za single parent
single parent wa bahati mbaya-huyu alibakwa, alifiwa

single parent wa kujitakia-huyu aliendekeza umalaya akaachwa au alizaa na mtu asiye sahihi akakimbiwa

single parent wa bahati mbaya ya kujitakia-huyu aliteleza mara moja tu ila sio kwamba amepinda😅
 
Kwa zama hizi kuwa step father ni sawa na kujitia kitanzi shingoni.

Kuna baadhi ya mabinti wanazaa na men eti kisa anampenda sana , japokuwa jamaa hana mpango wa kuoa.
Ukiweka ndani huyu, babybaba akitokea lazima aliwe.
Siku zote mwanamke huzaa na mwanaume anayependa halafu anatafuta responsible man kumlelea hao watoto ndio maana matangazo mengi humu huanza na 1-0 fanya research yako.
 
Kudai single mother lazima ampe mzazi mwenzie ni fikra za kijinga,hao ambao hawakuzaa hawawapi wapenzi wao wa zamani!?..kwa hiyo unatakiwa kuchunguza ikiwa mzazi mwenzie single mother ana kipato cha kusuasua au las!?.. single mother wanagongwa na wazazi wenza ni wale tu wenye wazazi wenza wenye vipato imara!?..waliobikiri hao wake zenu hawakumbukwi?
 
Sasa naanza kuamini, ni kwanini wanawake hua wanaliaga siku yao ya harusi.

Kuolewa, ni heka heka 😄
 
Back
Top Bottom