Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Profile zinabadilika...

Kuna mtu ilikua inamuandikia mkoa,
Asaivi Imeandika MDAs & LGAs..
Huko Mimi naona akuna umuhimu wowote ule zaidi ni kujipa tumbo joto tu.
Cha msingi hapo pale kwenye received pabadilike paandike not shortlisted hapo ndio utakiwa umekosa au waandike shortlisted hapo ndipo ufurahi utakiwa umeitwa kukandwa vinginevyo ni uongo na no ramli chonganishi.
Yaani kiufupi kunakijamaa kimekaa ghetto kimeshiba makande ya dada kinaandika taarifa za uongo kudanganya Wana.
Oya Wana tulieni kuandikiwa mkoa au kutokuandikiwa aina ukweli wowote wa umepata au umekoswa kuwa shortlisted tulieni mkeka utatoka soon na status zitabadilika kutoka received to shortlisted or not shortlisted
 
TGHS C1 huyu atakua Nurse Officer ameingia kazini

TGHS iko applied wizara ya Afya pekee
 
Hebu usitusimange jamani
 
Huyu jamaa nitapeli analeta taharuki tu, kama una App ya ajira portal compare nachakwenye web uone.
 
 
Jaman kwel inabadirika. Yangu jama ilikuw inaonesha mikoa ila leo nimeingia nimekuta hkn mikoa wameweka MDAs & lgsa.

Pia kuna mwanangu kanambia jana alibadirishiwa mikoa ila sas hvi wametoa wameweka MDAs & lgsa.

Yaan wanatuchanganya tu kwa kwel
 
Waalimu. Habari za Asubuhi. Utaratibu wa watu kuitwa kwa usaili serikalini unajulikana.Hizi ramli zinazochezwa humu zitawatoa dam.Tulieni pigeni kazi mkijiandaa kwa maelekezo kutoka PSRS.#Kaziiindelee
 
🤣🤣🤣🤣Walimu mimi natoa tu update mbona mnataka mninyongee...

Niliwaambia Status zimebadilika zinaandika mikoa, Mkaingia mkaona..

Nika wa update tena kua status zinabadilika kurudi kwenye MDAs & LGAs , mkaangalia ni kweli.

Sasa mimi nimedanganya nini?

Sichoki kutoa update...

Kinachofanyika sasa, wamefunga page yao kupitia Google ili kufanya review ya mchakato hasa katika upande wa mikoa,
Soon baada ya kumaliza watawafungulia....

Ukijua maana ya profile name yangu, hutauliza najuaje.

Humu sema tuu hatuonani, mtu anatamani akupige chepe, as if wewe ndio umemuweka kitaa,
Subiri uone nitakavyoandamwa na hii comment 🤣🤣🤣.
 

Wewe ni mwongo, Acha Upotoshaji.

Huna ujualo linaloendelea.
Waalimu na mlioomba Kazi zingine subirini Muongozo Kutoka utumishi
 
Hahaaa Watu wanapanic, Sasa hapo nini umedanganya...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…