Hivi kwanini mnaamini walimu ni watoto wa masikini?Nimeamini watoto Wa maskini ni wengi kuliko utitiri!
Hao waache, ndio maana siwa quote nisiwapandishe hasira zaidiHahaaa Watu wanapanic, Sasa hapo nini umedanganya...?
mabadiliko yaliyopo kwenye account yako ni kwa Employer badala ya utumishi unaajiliwa na mkoa ulikoomba, lakini kingine nilichokibaini kuna mdogo wangu nilimuombea kiswahili-Tanga, kiingereza-Tanga, lakini saizi kwenye account yake inaonyesha Kiswahili-Kagera, Kiingereza Tanga, ni hayo tuTaarifaa mbon haipo at kwenye websites yao ay VIP umeonan hayo mabadiliko
Hawa watu ni wa kukaa nao makini sana, wanaweza ht kujiua.Hao waache, ndio maana siwa quote nisiwapandishe hasira zaidi
We mtu kakaa kitaa kuanzia 2016,
History na Kiswahili visha vapour kichwani,
Ghafla unamuambia interview, hajakaa sawa yupo ujiji kigoma, anatakiwa aende mtwara kwenye history, akitoka mtwara aende mbeya kwenye kiswahili, unadhani atakua sawa?
Halafu nije mimi niwaambie wamefuta tena,
Mtu huyo sio wa kumsogelea karibu..
Hapo alipo anaweza gombana hata na sufuria na vifaranga.
watu wamesota tangu 2015 unafanya masiharaHawa watu ni wa kukaa nao makini sana, wanaweza ht kujiua.
Mkuu nilichokuelewa huenda wameona mapungufu mtu kupangiwa mikoa miwili tofauti kwa ajili ya usaili. Hii kweli ni changamoto hasa kweli cost. Nahisi wamechukua maoni ya watu ili wa fix hili ila tangazo lako la mwanzo lina make senseHao waache, ndio maana siwa quote nisiwapandishe hasira zaidi
We mtu kakaa kitaa kuanzia 2016,
History na Kiswahili visha vapour kichwani,
Ghafla unamuambia interview, hajakaa sawa yupo ujiji kigoma, anatakiwa aende mtwara kwenye history, akitoka mtwara aende mbeya kwenye kiswahili, unadhani atakua sawa?
Halafu nije mimi niwaambie wamefuta tena,
Mtu huyo sio wa kumsogelea karibu..
Hapo alipo anaweza gombana hata na sufuria na vifaranga.
Aidha wanafanya maboresho au mfumo umezidiwa. Kuwa mpole tu, jaribu tena baadayeMbona account yangu haifunguki nikijaribu inaleta maandishi haya "under maintenance".
Kama wata watatumia usaili ili kuajiri Itakuwa vzr itaondoa kubebanaOk kwa mimi point zangu ni kuwa;
Mazingira ya kufanyia kazi ni duni kulingana na kada nyingine
Mshahara duni na mazingira duni ya kazi ya ualimu sio sawa kumtia mtu gharama za kwenda kurudi mikoani na wilayani kutafuta mshahara wa 400k
Ukiangalia ufaulu wa miaka hii ni wazi kuwa wanafunzi wanafaulu kupita matarajio na ndio maana wasio na ajira mtaani ni wengi sana hii ina maana walioajiriwa bila interview hawana mapungufu yoyote ambayo yangefanya kuwe na ulazima wa usaili ili kuchuja ubora
Kama ni kutafuta usawa au kuwapambanisha eti kwakuwa wanaohitaji ni wengi bado usawa huo hautakuwepo utake usitake rushwa lazima itatembea
Kigezo cha kupima competency ya mwalimu kwa mtihani wa kuchagua ni uwongo bora hata interview ya kufundisha sio multiple choice
Kuhusu izo kada nyingine wapigwe tu interview kwanza wanafanya kazi mijini na mtonyo wa kutosha lakini pia sio zote kwahiyo hata hizo ambazo mishahara na mazingira ni duni zenyewe kufanya interview za multiple choice ni kupotea rasilimali tu
Nyingine watajazia wengine
Ndio ataenda hivyo hivyoMalizia stori sasa.
Kwahiyo ataenda kivyovyote vile?
Kwenye maelezo yangu hapo nimeliongelea hiloKama wata watatumia usaili ili kuajiri Itakuwa vzr itaondoa kubebana
Aisee wakuuu hiz heka heka zote afu unakosa nafasiLog in > Nenda my Application > Employer.
Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview....
Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea...
Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao..
Kama uliomba masomo mawili,
Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar ulipo,
Oral ya physics utafanyia Kigoma,
Oral ya Hesabu utafanyia Mbeya.
Watu niliokua nawaombea taratibu washaanza kuona mabadiliko,
Ila nahisi zoezi halijaisha.
KWA WALE WOTE WALIOOMBA AJIRA ZA UALIMU KATIKA MFUMO WA AJIRA PORTAL
________________________________
KUNA MABADILIKO MUHIMU YAMEFANYIKA
1. Wengi wamebadilishiwa mikoa ya kufanyiwa usaili na ndo mikoa itakayotumika kuwaajili.
2. Kama hujabadilishiwa mkoa na Bado panasoma MDAs & LGAs maana yake ni kwamba wewe hujapangiwa mkoa WA kwenda kufanya usajili, hivyo utaomba Ajira upya pindi zitakapotoka.
Ili kuona mabadiliko hayo , Fanya mambo/hatua zifuatazo
1. Ingia Ajira portal akaunt Yako ()
2. Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3. Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4. Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko na kuandikwa jina la mkoa ulilopangiwa kufanya interview , kama hakuna jina la mkoa ulilopangiwa inamaana kwamba Bado hujapangiwa sehemu pa kufanyia interview na huwenda hujakidhi vigezo ,hivyo utarazimika kufanya maombi mengine pindi Ajira zitakapotoka.
NB : Endelea kutembelea Akaunti Yako kila mara Ili kuona madailiko zaidi na siku na tarehe na kituonutakachopangiwa kwenda kufanyia interview
_______________________
Kila la kheli katika maombi Yako,
_______________________
Ni sawa lakini sio rahisi kwa idadi hiyo!Hivi kwanini mnaamini walimu ni watoto wa masikini?
Sometimes ualimu ni njia ya kuingia kwenye system ili kufikia ndoto fulani za mtu alizojiwekea acheni kukariri
Watu huwa wanaenda na upepo wanaangalia njia rahisi ya kuingia serikaliniNi sawa lakini sio rahisi kwa idadi hiyo!
Yn hy ishu unafanya ukiwa ndani kitandani tena ht ukiwa unasinzia afu unasema hekaheka?Aisee wakuuu hiz heka heka zote afu unakosa nafasi
Mkuu heka heka yake ipo kwenye kusafiri na madude yoteYn hy ishu unafanya ukiwa ndani kitandani tena ht ukiwa unasinzia afu unasema hekaheka?
Mbona ukiwa Instagram, Facebook, JF, Tiktok n.k husemi hekaheka?
Madude gani?Mkuu heka heka yake ipo kwenye kusafiri na madude yote
Huu uzi umekanushwaLog in > Nenda my Application > Employer.
Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview....
Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea...
Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao..
Kama uliomba masomo mawili,
Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar ulipo,
Oral ya physics utafanyia Kigoma,
Oral ya Hesabu utafanyia Mbeya.
Watu niliokua nawaombea taratibu washaanza kuona mabadiliko,
Ila nahisi zoezi halijaisha.
KWA WALE WOTE WALIOOMBA AJIRA ZA UALIMU KATIKA MFUMO WA AJIRA PORTAL
________________________________
KUNA MABADILIKO MUHIMU YAMEFANYIKA
1. Wengi wamebadilishiwa mikoa ya kufanyiwa usaili na ndo mikoa itakayotumika kuwaajili.
2. Kama hujabadilishiwa mkoa na Bado panasoma MDAs & LGAs maana yake ni kwamba wewe hujapangiwa mkoa WA kwenda kufanya usajili, hivyo utaomba Ajira upya pindi zitakapotoka.
Ili kuona mabadiliko hayo , Fanya mambo/hatua zifuatazo
1. Ingia Ajira portal akaunt Yako ()
2. Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3. Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4. Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko na kuandikwa jina la mkoa ulilopangiwa kufanya interview , kama hakuna jina la mkoa ulilopangiwa inamaana kwamba Bado hujapangiwa sehemu pa kufanyia interview na huwenda hujakidhi vigezo ,hivyo utarazimika kufanya maombi mengine pindi Ajira zitakapotoka.
NB : Endelea kutembelea Akaunti Yako kila mara Ili kuona madailiko zaidi na siku na tarehe na kituonutakachopangiwa kwenda kufanyia interview
_______________________
Kila la kheli katika maombi Yako,
_______________________
Sijui kwann linapokuja suala la kuajiri waalimu haya mambo hutokea sana, ht kipindi cha tamisemi pia mambo yalikuwa hv hvHuu uzi umekanushwaView attachment 3085790