Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Hiyo ya kuwarusha watahiniwa huku na kule ndio ujinga wenyewe kwann wasingefanya mambo yote sehemu moja? Kama vipi warudishe interview zote kufanyika Dodoma.
 
Kumekucha tena!
Hivi hawa walioajiriwa Miaka 5 nyuma ambao hawakufanya hizi interview inakuwaje?
Au Malengo ya Interview ni nini?
Je, wanataka Ualimu nao uwe professional?
 
Mshahara mkubwa kwako ni upi? Unajua kuwa Kwa government sekta ya ualimu inaweza kuwa ya tatu au nne Kwa watu wake kulipwa mshahara mkubwa!?

Acha kuishi Kwa kukalili,hebu weka salary slip Yako tulinganishe wewe uliyekwenye idara ya mshahara mkubwa na Mimi mwalimu ambaye ninalipwa mshahara kidogo kulingana na mtazamo wako!!

By the way hatuwezi wote Kuwa wakurungezi au mameja,hata mbinguni Kuna matabaka,Kuna malaika,yesu ,Mungu ,ije kuwa dumiani!?

Ukiweka salary slip Yako ikaonesha unanizidi naacha kazi ya ualimu,yangu hii hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20240901-122242.png
    223.4 KB · Views: 13
ccm kazi kwelwel huko nchimbi kakimbia mdahalo kaogopa akina mnyika watamdhalilisha
 
Umeua mkuu, hawezi kurudi huyu mlemavu
 
Mkuu hy 2038 n nn?
 
Akikujibu nitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…