Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

apana jamaa ni kama yuko sahihi. mini niliomba mkoa wa kilimanjaro na arusha na kwenye account yangu nimekuta nimewekewa mtwara na mara
 
Jamaa hajakosea alichoeleza kwenye uzi, kilichobaki tu ni tangazo la public kama ilivyo kwa kada za Afya
 
Si haba, njia ya msalani haiwezi kuota nyasi.

Lakini kuifikia scale category F umepambana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…