Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Malizia stori sasa.

Kwahiyo ataenda kivyovyote vile?
 
Kabisa mkuu. Nilijiwekea malengo tangu naaingia kwenye utumishi wa umma. Ni mambo machache tu nayaweka sawa kuweza kufikia target.
Kila la kheri, nidhamu itawale sana
 
Waalimu tulieni mjiandae kwa usaili. Moja ya jambo la kumshukuru mungu ni kuajiriwa kupitia usaili hakika ni moja ya mbinu bora unayotakiwa kuifurahia maana unajua kabisa kinachoendelea.Ukikosa unajua umekosa na ukipata unajua umepata kwa sababu zipi.Serikali imekuja na mtaala mpya sasa inatakiwa recruitment bora ili ikidhi mtaala huo.Mambo ya kupeana vi memo ndio kwisha Habari. Jiandaa kafanye usaili. Kazi kwako acheni kulialia
 
Hapana kiongozi mm mwenyewe profile yangu imebadilika from dodoma to mtwara
 
Sababu ulizotoa hazina kichwa wala miguu.

Ila nakushukuru kwa kuniombea mema kuwa ntalamba asali 🙏 ila kaa ukijua sijawahi kuwa na chuki na waalimu na watu wa afya ila kwenye suala la nyie kufanya usaili naliunga mkono 100% na nimefurahi sana
Kwanini unaunga mkono usaili kwa walimu? Lete sababu zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…