Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Kuna walio itwa oral interview kanda ya kati ( central zone ) humu tujulishane jaman
 
alafu mliofanya mtwara na Kanda zingine ni mmepangiwa huko kwa ajili ya intavyuu au ni anuani zenu n za huko?? na je wa dsm mshafanya intavyuu??
 
Swali lako cjakuelewa, binafsi tuliopigiwa Mtwara ni kufanya interview, Sasa kupitia Kuna mawili upangiwe Mtwara au Mikoa ya Southern hko hko
 
Back
Top Bottom