Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Kuna walio itwa oral interview kanda ya kati ( central zone ) humu tujulishane jaman
 
Kwa tulio pata 40 kuna dalili kwel au ndo tusubir mwaka mwingine aise
 
alafu mliofanya mtwara na Kanda zingine ni mmepangiwa huko kwa ajili ya intavyuu au ni anuani zenu n za huko?? na je wa dsm mshafanya intavyuu??
 
Swali lako cjakuelewa, binafsi tuliopigiwa Mtwara ni kufanya interview, Sasa kupitia Kuna mawili upangiwe Mtwara au Mikoa ya Southern hko hko
 
Ushauri wa bure, ukienda kwenye interview unachokisoma kielewe, usikalili wnauliza kwa namna unavyojibu, ulichokalili utaulizwa kwa njia ya swali kuona unaweza kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…