Mliopanga kuipa Taifa Stars 1.2 Bilion kwa mchezo wa leo hata wakifungwa wapeni Milioni 600 kama kifuta jasho please

Ingesaisia sana kukuza morali ktk timu
 
Nani ametoka jasho pale, kwanza kuitwa kuchezea National team ni heshma, wao ndio walipaswa walipe kuichezea timu.
Acheni upuuzi wa kupongeza hata tunapofanya madudu.
Hiyo milioni 600 ikajenge Acadmy ya mpira Moshi huko ambako hakuna soka, nchi iwe na vipaji kila kanda.
Unataka wapewe hela kwenda kuto****?
 
Sie hatuko serious na boli bwana....wacha tuendelee kuwa wapenzi watazamaji.
Ni vitu via ajabu sana mkuu, kama una 1.3B kwa ajili ya kuwalipa bench la ufundi na Wachezaji kwa kushinda mèchi moja tu. Kwanini usiweke hiyo pesa kwenye Program za kuendeleza Vipaji zaidi vya soka nchini, Ili tuweze kushindana zaidi AFCON ijayo 2027.
 
kama hizo fedha zipo kweli basi ni kheri zika fanya haya
Manunuzi ya mashine mbali mbali kwa matumizi ya hospitali zetu
kama mashine za kuchuja damu(dialysis) ,incubators , MRI
vitanda etc etc....
 
Hakuna kupewa hata mia, wanacheza nini huko cha maana?
Halafu walivyokuwa HAMNAZO
Walihitajika kushinda mechi moja tu na sare moja ili waendelee mbele kama best losers.

Ila Ivory Coast kuendelea kwa point 3 tu.
Hivyo hii nafasi ilikuwa yetu kama tungepata point 4..!!!

#YNWA
 
Ni aibu kuzidiwa na Ivory Coast iliyolambwa magori manne na kutinga 16 Bora bila shida .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…