100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Hio pesa imekosa matumizi ya maana Hadi wapewe wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingesaisia sana kukuza morali ktk timuNdio ina yotakiwa. Haya mambo ya kudischss hela last minute inaonyesha kabisa akili zenu hazipo kwenye game husika. Hii ni tournament unajua well in advance prize money ya kila stage so unajipanga mapema.
Sie ilitakiwa kwamba vijana ehh, stars haiwajawahi shinda game yoyote afcon. So 1.3 billion if u win atleast one match. Hiyo mnakubaliana kabla ya tournament kuanza. So kila mtu anajua na fikra zinakuwa kwenye boli
Nani ametoka jasho pale, kwanza kuitwa kuchezea National team ni heshma, wao ndio walipaswa walipe kuichezea timu.Leo kila Mtanzania anafaraja kwamba baada ya kujitafuta sana leo tumejipata. Siyo kwamba hatuna team ila team inayopelekwa mbele inakosewa.
Kikosi cha leo kuna watu waliwaambia kuna 1.2 bilioni, natambua walisema hivyo hawakumaanisha ila tuwashinikize watekeleze.
Kama waliweza kuahidi fedha zote hizo endapo tutashindwa kufuzu basi wachukue 50% wawape vijana. Wasipofanya hivyo ntaomba wale watu wa maandamano wakusanye fedha watulize machungu ya vijana wamefanya vizuri
Mimi nipo Kenya, Wakenya leo wamekubali hatukwenda kuchezewa tumekwenda kucheza. Kama mkenya amekubali kwanini tusiwasaidie watoto wetu hawa wapate japo nyumba au walipe ada za wadogo zao?
Ni vitu via ajabu sana mkuu, kama una 1.3B kwa ajili ya kuwalipa bench la ufundi na Wachezaji kwa kushinda mèchi moja tu. Kwanini usiweke hiyo pesa kwenye Program za kuendeleza Vipaji zaidi vya soka nchini, Ili tuweze kushindana zaidi AFCON ijayo 2027.Sie hatuko serious na boli bwana....wacha tuendelee kuwa wapenzi watazamaji.
Halafu walivyokuwa HAMNAZOHakuna kupewa hata mia, wanacheza nini huko cha maana?