Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

Daaah...! Hili linchi lina watu wa ajabu. Sijui kutokuelewa?. Halafu wenyewe wanajiona ndio wanajua zaidi. Ona sasa wengine wote wanaotuzunguka tayari wako kwenye dunia hiyo. Bado miaka 10 tutakuwa nchi ya mwisho kwa kila kitu kwa hawa viongozi.
 
 
Mimi pia nikiwa safarini mkoani Kilimanjaro, mida ya saa moja na dakika 20s usiku nimeona kitu hicho hicho, hivyo hivyo angani.
Ni kitu halisi kabisa.

Mwanzoni nilihisi ni ndege lakini akili ikakataa, nikahisi ni rocket lakini bado akili ikakataa, sio cha kawaida.
 
Hiyo ni satelite ya Starlink, mali ya bilionea Elon Musk.

View attachment 2917389
View attachment 2917390
View attachment 2917391

Fun fact:
StarLink wanawezesha upatikanaji wa intaneti yenye kasi kwa bei nafuu.

Elon Musk alipoulizwa kama ana mpango wa kupeleka StarLink Tanzania, akajibu kwamba ameshapeleka proposal kwa serikali ya Tanzania na waanangojea majibu.

Yule anayepaswa kutoa majibu akatoa majibu mepesi kwamba hadi Musk ajenge ofisi hapa bongo!!

Intaneti ya Musk ingekuwa ukombozi mkubwa kwa huu utumwa wa intaneti unaoendelea.

Fun fact starlink iko Kenya na Rwanda ambako Starlink hawana ofisi.

Takataka.

 
No Star link kumbe, nimeangalia location yake ikaniletea na muda ambao inapita.
 

Attachments

  • IMG_20240226_195853.jpg
    120.8 KB · Views: 5
Soma hii link. Ni satelite. Unaweza kupiga mahesabu inavyosafiri, na kujua itakuwa sehemu gani na muda gani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…